Jiwe anatamani sheria kama hizi!

Jiwe anatamani sheria kama hizi!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,923
Reaction score
95,765
[emoji16][emoji16][emoji16]
fahamuzaidi_Bw1DrLVgOPw.jpeg
 
hivi aliomba radhi au razi????aiseee wacha weeeee,kichaa wenu aliyekatwa vidole vya miguu muulize kwa nini karudisha na kwanini sheria ya takwimu inaenda kurekebishwa..chezea mabeberu weweee watu wanawachora tu
Hakuna CCM mwenye akili timamu mkuu 'razi' kaaaah yani ada ilichezewa kabisa.
 
Hiyo RAMANI ya BENIN imekaa kama m*oo
..... samahani toka nje ya mada
 
Akili aliyotumia lisukama wewe huwezi kuelewa
Lisu alijua kabisa kisheria ana haki ya kuendelea kulipwa lakini akaona ajifanye mjinga
hakupata michango akaanza kuomba razi kwa spika arudishiwe mshahara aibuuuu
 
Africa hakuna viongozi wala serikali kuna kundi la Manyapara tu. Mimi wakirudi wakoloni nawakamata ccm wote, nawapeleka kwenye meli za wakoloni wakafanye watumwa wallahi.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom