Jiwe anasali wapi sikuhizi?


SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
3,968
Likes
5,083
Points
280
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
3,968 5,083 280
Wamehamasishana kutumia mitandao kwa sana, naamini watamuuliza na kumwambia kuhusu swali lako.

No longer UTAPATA majibu
Hatuoni tena picha za Jiwe akiwa St Peter’s Jumapili. Au ameamua kubaki na mungu wa mababu zetu? Maana Mungu wa Jacob na Elia anaona kila jambo litendwalo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,143
Likes
8,499
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,143 8,499 280
Kwake chato amejenga kanisa ndani ya nyumba yake, nje pia kajenga bar, pembeni kuna traffic light.
 
Sir Khan

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
4,098
Likes
5,436
Points
280
Sir Khan

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2018
4,098 5,436 280
We mwanamke siku hizi umekuwa mpumbavu na mpenda sifa.
Kama umeshindwa kumuheshimu Magufuli kama rais basi mheshimu kama mtu mzima aliyekuzidi umri.
 
blackcornshman

blackcornshman

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
1,575
Likes
1,526
Points
280
blackcornshman

blackcornshman

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
1,575 1,526 280
Kwake chato amejenga kanisa ndani ya nyumba yake, nje pia kajenga bar, pembeni kuna traffic light.
Acha oungo wewe kwa Jiwe hakuna baa wala kanisa,kusali ruksa,pombe ni marufuku ukitaka kanyweee nje.
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,770
Likes
39,465
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,770 39,465 280
Anajidanganya tu, huyu si amethibitika kuwa ni mvaaji wa hirizi mbili kiunoni?
Muda wote yuko connected na kuzimu kupitia mahirizi yake
Hatuoni tena picha za Jiwe akiwa St Peter’s Jumapili. Au ameamua kubaki na mungu wa mababu zetu? Maana Mungu wa Jacob na Elia anaona kila jambo litendwalo.
 

Forum statistics

Threads 1,262,332
Members 485,559
Posts 30,120,776