Jiulize shule ya msingi uliyosoma ina hali gani?

Jiulize shule ya msingi uliyosoma ina hali gani?

Shule nilivyosoma ni Bora zaidi kuliko nilivyoiacha,shule imezungukwa na maofisi yote ya serikali hawawezi kuiacha mbovu,
Kwa Dar ni shule ipo ambayo haijazungukwa na maofisi mbalimbali ?
Haaaaahaaaaa hiyo ni kanyaga twende.
Labda ulisomea International School of Tanganyika. Haaaaahaaaaa
 
Kwa Dar ni shule ipo ambayo haijazungukwa na maofisi mbalimbali ?
Haaaaahaaaaa hiyo ni kanyaga twende.
Labda ulisomea International School of Tanganyika. Haaaaahaaaaa
Dar sipajui aisee,,labda kama kuna anaeijua shule ya msingi kiwanjani. Wilaya ya Mbinga,ataelewa hii
 
Back
Top Bottom