JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 475
bila kusahau age 28,kiatu navaa namba 15 kubwa je nifanye zoezi gani ili nifikie kilo hata 60
250kg si mchezomkuu kilo 250 labda uombewe nenda kwa lusekelo au ZOE tabata
We vuta bangi tuu akuna jingine uone unavo isha
Aliye kwambia naniAcha kumdanganya mwenzako! Uvutaji wa bangi unaongeza hamu ya kula Mara dufu ! Hivyo basi atajikuta anakula mpaka majani Kama ng'ombe na matokeo yake Ni weight kuongezeka nasio kupungua! Bangi inamkondesha mtu asie na uhakika wa kula tu . Namshauri afanye mazoezi ya viungo kila siku kwa masaa yasiyo pungua 2 , apunguze ulaji wa vyakula vya wanga ikiwezekana asile kabisa vyakula vyenye Wanga na protein kwa usiku! Ale matunda mengi ktk kila mlo:note chakula kiwe kidogo matunda yawe mengi! Mlo wa usiku uwe less Saa 2 ! Maji mengi Ni muhimu zaidi
Aliye kwambia nani
Height 250.7 nini? M, cm au!bila kusahau age 28,kiatu navaa namba 15 kubwa je nifanye zoezi gani ili nifikie kilo hata 60