Jitoe Ufahamu, Uinjoi Mapenzi...

Jitoe Ufahamu, Uinjoi Mapenzi...

Mapenzi na Logic Ni vitu viwili tofauti ukiwa ni mtu wa ku- reason out katika mahusiano lazima mahusiano yakushinde ... Ajabu Ni kwamba hiki nacho kizungumza Mimi mwenyewe siwezi kuki apply kukubali kufanywa bwege siwezi kabisa
Yaani wewe ni kama mimi tu mimi hauwezi niambia eti hii ni juisi wakati mimi naona kabisa kuwa ni pombe halafu ukategemea nikubali tu eti kisa mapenzi nefwaaa! Hata mimi mwenyewe najua kuwa huo ndiyo ukweli lakini siko tayari kuuapply aisee!

Sent from my SM-A705F using JamiiForums mobile app
 
Yaani Ni ngumu Sana Kama unajielewa aisee
 
Mkuu kp umekiona kwa wife hadi usisitize watoto wasirudie makosa yako?
Alimkumbuka alomtoa bikra mkuu bila ya kutumia njia za kijasusi tayari alishaliwa ,ila niliwahi chezo nilihack cm yake bila kujua kabla mambo hayajaiva nikaharibu, saivi naishi nae kma mfanya kazi wangu wa kulea watoto ndio alivyonishauri mzee mmoja hivi baada kumpa story.
 
Usiombe kupendwa na Boss mwanamke km Admisstress af akakufanya mchepuko na game ikakubali weee!! jmn km hujaoa hutaoa tena..

Kwanza hawapigwi pigwi hovyo, sababu ya wadhifa wao!! ivo inakuwa mnato!! ukijidanganya ukapiga pande, pale kwa jimama utarudi tu!!
Pili wana hela za kufa mtu!! asikwambie mtu wa mama watu wazima wenye watoto rika lako ni watamu jamani khaaa!

Tatu michongo mingi!!! sasa wewe mvuruge akuvuruge uone!!!

Halafu wanakuonyesha njia ya mafanikio na ulinzi!!! pia jinsi wanawake walivyo makatili!! Mke wako kamwe hakupigi limbwata ng'oo! ukitaka ulinzi wa Mapenzi ewe kijana wa kiume basi, chagua jimama! hili litajua mpaka mganga wa mkeo! na Dawa zote anazochukua ajili ya kukufanyia! na tarehe! ataenda pia hukohuko kwa mgnga wake!

Ukitaka kufunguliwa na malimbwata uliyo lishwa na mkeo! tafuta mchepuko jimama litakulinda mpaka ulie poo!! usichukue hivi vidogo vidogo mnavolingana umri eti unajifanya wa kisasa nooooo!
 
Anaandika Mkaka fulani

Ukitaka uinjoi Mapenzi basi we JITOE UFAHAMU TU...Ishi kama hakuna LOGIC duniani na usijiulize-ulize maswali kutaka kuchambua SITUATIONS na kujaribu kutumia Akili kwenye Mapenzi...Ukitaka kutumia Akili nenda kawe Mwanasayansi utusaidie Kuvumbua Dawa za Corona na Chanjo Za covid Uko...

Ukiwa Penzini au Ukiwa unataka kuingia Penzini kaziache akili zako LABORATORY zisaidie kukuza minyoo...

Kila mtu anataka MPENZI WA PEKE YAKE lakini kila mpenzi unayegusa unakuta JAMAA WALIPITAGA ZAMANI na hawana idadi...Na ukijifanya kutumia AKILI kumuuliza

"Umewahi kulala na Wanaume wangapi before me",Jibu lao huwa ni rahisi kweli...."Wawili tu yaani we ndo wa 3",Wakati kumbe wewe ni kijamaa cha 54...Ana MAEX 53...Mtu ana MAEX 53 atakuwaje MPENZI WA PEKE YAKO???

Ina maana wewe ndo unasugua na Steel Wire au?? Kashaguswa na kila type, Pingili za Mihogo,.Ndizi Kisukari, Tango, Tambi ya Jiko,
na kila type na LAZIMA mmoja kati ya hawa MAEX alimfeel sana japo IT DIDNT WORK OUT wakaachana ingawa deep down wana feelings za kimyakimya...Kuambiwa wewe UNAPENDWA haimaanishi hamna EX ambaye kila akimuona Anaget Wet!
Na MAEX wengine hawana huruma,hata wasipoonana Miaka 2, siku wakikutana Anaget Wet jamaa anapitisha Dekio,na atarudi home atakutext, "I love you babe mi ndo nalala, Nakupenda sana"

Ukiamua kupenda WE PENDA TU, ila ukitaka kujua yanayojiri ndani ya Penzi lako UTAWEKEWA DRIPU BURE...Shkamoo wewe hapo ambaye EX WAKO WA 36 kila mkikutana lazima mpashe kiporo japo unampenda mmeo..Shkamoo Sana...Mapenzi matamu sana!

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Aisee!
 
Usiombe kupendwa na Boss mwanamke km Admisstress af akakufanya mchepuko na game ikakubali weee!! jmn km hujaoa hutaoa tena..

Kwanza hawapigwi pigwi hovyo, sababu ya wadhifa wao!! ivo inakuwa mnato!! ukijidanganya ukapiga pande, pale kwa jimama utarudi tu!!
Pili wana hela za kufa mtu!! asikwambie mtu wa mama watu wazima wenye watoto rika lako ni watamu jamani khaaa!

Tatu michongo mingi!!! sasa wewe mvuruge akuvuruge uone!!!

Halafu wanakuonyesha njia ya mafanikio na ulinzi!!! pia jinsi wanawake walivyo makatili!! Mke wako kamwe hakupigi limbwata ng'oo! ukitaka ulinzi wa Mapenzi ewe kijana wa kiume basi, chagua jimama! hili litajua mpaka mganga wa mkeo! na Dawa zote anazochukua ajili ya kukufanyia! na tarehe! ataenda pia hukohuko kwa mgnga wake!

Ukitaka kufunguliwa na malimbwata uliyo lishwa na mkeo! tafuta mchepuko jimama litakulinda mpaka ulie poo!! usichukue hivi vidogo vidogo mnavolingana umri eti unajifanya wa kisasa nooooo!
Kiben10 na marioo ktk ubora wako,
 
Back
Top Bottom