Hapo umeongea kuongeza % which I agree but hoja kwamba let us get rid of arts haina mashiko kabisa you must concur ndio maana NKorea haina uhusiano mzuri diplomatically na mataifa ya dunia. Huoni hapo tatizo
Mi nimesoma PCB, katika A-level niliyosoma kulikuwa na PCB na CBG. Katika tuliomaliza form six wengi wamefika vyuo vikuu hata wale waliopata div 3 na 4. Kuna walioenda computer science, food science, veterinary medicine, udaktari, uclinical officer, uafisa kilimo, uafisa wanyama, unesi, maabara, ualimu, uinjinia, uhasibu, clearing and forwading nk.
Wale waliopata ziro walienda vyuo ka matokeo yao ya form 4 nawengine walipata tempo za kufundisha. Hawakuwepo waliokaa kihasarahasara. Ninachotaka kusema ni kuwa sayansi ina uwanja mpana wa mambo ya kusomea. Pia sayansi inakupa nafasi ya kusomea kozi zenye soko tofauti na arts.
Nyakati za kusomesha watoto ilimradi umesomesha zimepitwa na wakati. Inatakiwa kusomesha kwakuangalia future yake. Ukisikia graduate hawana ajira utashangaa 90% ni waliosoma arts. Watoto wanatabia ya kufuata vitu vinavyoonekana ni rahisi. Ni jukumu lako mzazi kumuonyesha njia sahihi na kumtia moyo. Sayansi haina ugumu kwamba mtu mwenye bidii imshinde
siyo umlazimishe bali jitahidi kumjengea mazingira mazuri ya kusoma sayansi. mnunulie vitabu na mpeleke masomo ya ziada. eti hayamudu!, nyie ndiyo mnalisha watoto uzembe. geography na biology au chemistry za olevel zinatofauti gani kubwa kwamba kimoja aweze kingine ashindwe?. mentality ya kwamba it is okay to fail ni mbaya sana kumjengea mtoto. kama we unayo tafadhalli usiipeleke kwa mwanao.Una fikra mgando sana wewe.Hivi kama hayo masomo yako ya Sayansi hayamudu vizuri unataka nimlazimishe tu ayasome hata kama hayapendi wala hayawezi.
Acha kuwa mshamba wewe mtoto lazima apewe Uhuru wa kusoma anachokiweza na anachokipenda na sio kung'ang'ania asome unachotaka wewe asome.
Umejiona mjanja mwenyewe kuandika huo utumbo hapo juu.
Mimi nilifaulu vizuri sana masomo ya sayansi lakini sikuyasoma A-level kwani nilipenda biashara zaidi ya hayo masomo ya sayansi na yamenisaidia na maisha yangu mazuri kuliko hao waliosoma Sayansi.
Mzazi akiwa na mawazo mgando kama ya kwako basi ni hasara kubwa sana kwa watoto wako.
siyo umlazimishe bali jitahidi kumjengea mazingira mazuri ya kusoma sayansi. mnunulie vitabu na mpeleke masomo ya ziada. eti hayamudu!, nyie ndiyo mnalisha watoto uzembe. geography na biology au chemistry za olevel zinatofauti gani kubwa kwamba kimoja aweze kingine ashindwe?. mentality ya kwamba it is okay to fail ni mbaya sana kumjengea mtoto. kama we unayo tafadhalli usiipeleke kwa mwanao.
hapa hatushindanishi sayansi na sanaa. kwanza mi o-level sayansi sikufanya vema. somo nililofaulu vizuri ni B ya hesabu na fizikia nilipata D hivyo lengo hapa siyo kujikweza kusoma sayansi. pili unamini kwamba mtoto under 18 anatakiwa kuelekezwa na kuongozwa? watoto wengi huchagua combinations kwa kufuata mkumbo na uchache wa masomo, ni wachache wanaoangalia future.Hivi unafahamu kuna wanafunzi wanaojua wanachokifanya na wanajua wanachokitaka kwenye elimu.Mzazi wangu hata kama angetengeneza mazingira mazuri kiasi gani yasingeni-convince nichukue science subjects a-level na chuo ingawa nilikuwa na A kwenye masomo kadhaa ya science O-level.Nilisoma science subjects for fun tu na kufuata utaratibu lakini sikuwa na malengo na hayo masomo ingawa nilikuwa nayamudu vizuri sana tena yamkini kuliko hata wewe.
Ni lazima umsikilize mwanao anapenda kusoma nini na ana malengo gani yeye kama yeye na umpe uhuru wa kuchagua anachotaka asome.Wewe mzazi unatakiwa utoe ushauri na kumtengenezea mazingira ya kufikia malengo yake na sio kufikia malengo yako.
Unatakiwa pia umuandalie mazingira mwanao pia ya kuwa mbunifu na jinsi gani ya kutumia fursa zilizopo maishani na sio tu kuwaza ajira tu mpe na ujuzi juu ya mbadala mwingine wa kuajiriwa ambao ni kujiajiri.
Watoto hawatakiwi wasome kile unachotaka wewe mzazi.Unatakiwa uwape uhuru wa kuchagua cha kusoma kwani wao ndo wasomaji na sio wewe.
Unawaza ajira tu yaani hapo ndo mwisho wa akili zako zilipofikia.Nenda mbali zaidi ya hapo.
Eti masomo ya sayansi ha ha ha ukikutana na watu wenye akili timamu watakudharau mpaka ujichukie.Usiongee tena huu utumbo mbele za watu.
hapa hatushindanishi sayansi na sanaa. kwanza mi o-level sayansi sikufanya vema. somo nililofaulu vizuri ni B ya hesabu na fizikia nilipata D hivyo lengo hapa siyo kujikweza kusoma sayansi. pili unamini kwamba mtoto under 18 anatakiwa kuelekezwa na kuongozwa? watoto wengi huchagua combinations kwa kufuata mkumbo na uchache wa masomo, ni wachache wanaoangalia future.
vipi mwanao akisema hataki shule kwasababu imempendeza , utamuacha bila jitihada zozote? future kwanza mapendezi baadaye.
namaanisha mtu wa sayansi anakuwa na uwanja mpana wa kuchagua kuajiriwa au kujiajiri. tofauti na wa art ambaye ajira kwake ni ngumu. mimi niliyesoma sayansi nikitaka kujiajiri nasave hela ya mshahara au nakopa kwasababu ninaajira. wa art aasiye na ajira anaanzaje?
ngoja nikuache maana naona una uelewa mgumu sana. unashindwa kujua kama huo ni mfano. pia unashindwa kutofautisha kulazimisha na kujenga mazingira/kujitahidi.Naona unaenda nje ya point. Hatuongelei kuacha shule hapa tunaongelea uchaguzi wa nini cha kusoma.Mtoto akikuambia baba mi nataka arts/biashara anapaswa kusikilizwa na sio kuendelea kumwambia mi nataka usome Sayansi na ninakutengenezea mazingira yq kusoma sayansi.Hapo ndo wazazi wengi wanapochemka.
Kuna mwanafunzi mmoja alikuwa anachukua PCM na alikuwa akifeli sana mpaka mwalimu wa hesabu akamuuliza hii combination ulichagua mwenyewe?Akasema baba ndo amenilazimisha.Mwanafunzi ana haki yake ya kusikilizwa na kuchagua nini cha kusoma.Mzazi kazi yake ni kushauri lakini uamuzi wa mwisho wa nini cha kusoma upo kwa mwanafunzi na sio mzazi.
Mtoa mada nathubutu kukuita mbumbumbu kwa hoja kwamba ili jamii iendelee inahitaji fani zote ziwe na wasomi waliobobea. Hivi tusipokuwa na wana historia kuna uhai kama taifa. Hivi tukikosa wasomi wa lugha jamii itakuwaje ya majuha ya lugha? Hivi tukikosa wanasheria tutakuwa jamii gani? Unaonekana bado hujayajua maisha aidha upo high school. Nakushauri kakojoe ukalale ukukua tutakuja kudadili nawe
bado tupo mbali kimawazo,bila kusema mengi sidhani kama nitampeleka mwanangu shuleni akasome ili tu apate kazi,elimu ni zana ya ukuaji wa kifikra,kama bado umesoma halafu uchambuzi wako wa mambo ni sawa na mtu asiyesoma tutasema wewe hujaelimika,hata kama utakuwa ofisi gani..
narudia kusema watanzania tuanze kubadilika japo kidogo kidogo,hadi lini tutakaa kufikiri kwenda shule ni kupata ajira? wengine hawajaenda shule na wajomba zao wamewapa viti maofisini, elimu ni nyenzo ya kutukomboa kiakili, ajira inakuja baadae.
sitozungumzia sana kuhusu uwanja mpana wa wanasayansi au waliosoma arts kwa sababu binafsi siamini katika misingi hiyo ila tu nilisoma taarifa moja jana na ngoja nipaste hapa.
3. Most doctors cant correctly diagnose the ailments that kill the most Tanzanians
Lest you think Tanzanias challenges with basic services were limited to education, heres an eye-opening statistic on health services, from the same World Bank study cited above. Researchers presented clinicians with hypothetical patients, suffering from a variety of symptoms that commonly afflict Tanzanians, and tested whether they could offer a correct diagnosis.
Shockingly, only 27 percent of doctors could correctly diagnosis malaria with anemia, and 29 percent could correctly diagnose diarrhea with severe dehydration two leading causes of death for Tanzanians. Share of Clinicians Who Reached Correct Diagnosis. Data: Service Delivery Indicators. Figure: World Bank SDI Tanzania Technical Report
Hizi ndio faida za kusoma kupata kazi,kukariri maandishi ya vitabu katika misingi hiyo,tubadilike jamani.
.
mimi ni mwalimu wa commercail subjects na pia ni Proffesiaonal Accountant, kwa muda ambao nimekaa kufundisha na maisha yalivyo kwa arts kwa sasa ni ngumu sana....kabanga, pole naona umeguswa- it seems you are a graduate of arts subjects- lakini zinalipa, wabunge, wahasibu, lawyers!
mimi ni mwalimu wa commercail subjects na pia ni Proffesiaonal Accountant, kwa muda ambao nimekaa kufundisha na maisha yalivyo kwa arts kwa sasa ni ngumu sana....