Umeona hapo.
Na ndio maana siku zote ukichunguza mtu aliesoma(wengi wao) haamini kama kuna maisha bila ya kazi(KUJIAJIRI).
Kwa kweli wanakuwa waoga sana, mtu yuko tayari aendelee kupata mshahara mdogo lakini aendelee kufanya kazi
namaanisha mtu wa sayansi anakuwa na uwanja mpana wa kuchagua kuajiriwa au kujiajiri. tofauti na wa art ambaye ajira kwake ni ngumu. mimi niliyesoma sayansi nikitaka kujiajiri nasave hela ya mshahara au nakopa kwasababu ninaajira. wa art aasiye na ajira anaanzaje?Kujiajiri ni kote kote mkuu..au unazungumkia ajira gani...kama post yako imelenga kutarget soko la ajira la bongo sawa..ila kwa mimi naamini elimu sio tu kupata ajira bali ni njia ya kuongeza utambuzi na pia education inaweza kuwa leisure kama utaspecialize kwenye kitu ambacho unapenda
nashindwa kuelewa kwanini mmegeuza huu uzi kuwa kujiajiri vs kuajiriwa?. nafikiri ni kusudi tu maana wote tunajua kujiajiri ni bora.Janga la ajira halitaisha nchi hii kwa fikra hizi. Mie sijasoma arts lakini nimejiajiri nje kabisa ya taaluma. Na ninajuta sana kuikosa taaluma ya uhasibu na uchumi.
namaanisha mtu wa sayansi anakuwa na uwanja mpana wa kuchagua kuajiriwa au kujiajiri. tofauti na wa art ambaye ajira kwake ni ngumu. mimi niliyesoma sayansi nikitaka kujiajiri nasave hela ya mshahara au nakopa kwasababu ninaajira. wa art aasiye na ajira anaanzaje?
dunia ya sasa kuleave things to chances ni hatari sana. inatakiwa kucalculate your chances.Kila mtu anauwanja mpana ni kutambua fursa na kuzifanyia kazi tu..unaweza kusoma arts na mwingine akasoma sayansi ila bado wewe wa arts akawa mbali... me naona mtu asisome kwa kutarget soko la ajira ila kaa darasan uelewa na usisome fani usiyopenda..maana hata tunakoenda hizo tempo za watu wa sayansi zitajaa tu
Mi nimesoma PCB, katika A-level niliyosoma kulikuwa na PCB na CBG. Katika tuliomaliza form six wengi wamefika vyuo vikuu hata wale waliopata div 3 na 4. Kuna walioenda computer science, food science, veterinary medicine, udaktari, uclinical officer, uafisa kilimo, uafisa wanyama, unesi, maabara, ualimu, uinjinia, uhasibu, clearing and forwading nk.
Wale waliopata ziro walienda vyuo ka matokeo yao ya form 4 nawengine walipata tempo za kufundisha. Hawakuwepo waliokaa kihasarahasara. Ninachotaka kusema ni kuwa sayansi ina uwanja mpana wa mambo ya kusomea. Pia sayansi inakupa nafasi ya kusomea kozi zenye soko tofauti na arts.
Nyakati za kusomesha watoto ilimradi umesomesha zimepitwa na wakati. Inatakiwa kusomesha kwakuangalia future yake. Ukisikia graduate hawana ajira utashangaa 90% ni waliosoma arts. Watoto wanatabia ya kufuata vitu vinavyoonekana ni rahisi. Ni jukumu lako mzazi kumuonyesha njia sahihi na kumtia moyo. Sayansi haina ugumu kwamba mtu mwenye bidii imshinde
bado tupo mbali kimawazo,bila kusema mengi sidhani kama nitampeleka mwanangu shuleni akasome ili tu apate kazi,elimu ni zana ya ukuaji wa kifikra,kama bado umesoma halafu uchambuzi wako wa mambo ni sawa na mtu asiyesoma tutasema wewe hujaelimika,hata kama utakuwa ofisi gani..
narudia kusema watanzania tuanze kubadilika japo kidogo kidogo,hadi lini tutakaa kufikiri kwenda shule ni kupata ajira? wengine hawajaenda shule na wajomba zao wamewapa viti maofisini, elimu ni nyenzo ya kutukomboa kiakili, ajira inakuja baadae.
sitozungumzia sana kuhusu uwanja mpana wa wanasayansi au waliosoma arts kwa sababu binafsi siamini katika misingi hiyo ila tu nilisoma taarifa moja jana na ngoja nipaste hapa.
3. Most doctors cant correctly diagnose the ailments that kill the most Tanzanians
Lest you think Tanzanias challenges with basic services were limited to education, heres an eye-opening statistic on health services, from the same World Bank study cited above. Researchers presented clinicians with hypothetical patients, suffering from a variety of symptoms that commonly afflict Tanzanians, and tested whether they could offer a correct diagnosis.
Shockingly, only 27 percent of doctors could correctly diagnosis malaria with anemia, and 29 percent could correctly diagnose diarrhea with severe dehydration two leading causes of death for Tanzanians. Share of Clinicians Who Reached Correct Diagnosis. Data: Service Delivery Indicators. Figure: World Bank SDI Tanzania Technical Report
Hizi ndio faida za kusoma kupata kazi,kukariri maandishi ya vitabu katika misingi hiyo,tubadilike jamani.
.

hii njia ni nzuri, tena kama kafaulu vizuri anaweza anzia diploma. kuna jamaa namfahamu alipomaliza form 4 alienda diploma ya mechanic. kafanya kazi kisha kajiendeleza na sasa ni injinia tanroads.Iv kuna umuhimu wa mtt kwenda o level...a level then chuo kikuuu??? Maana mm Sio siri nmesoma arts.....nilivomaliza olevel nkaenda arts hgk ila nilisoma Huko n tofaut kabisa na nilivhosoma chuo....Je kuna hasara gan kumtoa mtt olevel kisha kumpeleka certificate....diploma in the same fld then chuo????