Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Haina haja ya kubishana nae kufungulia muziki kila siku ndio maana nikasema mpaka akiwa anaumwa maana kuanzia hapo atajifunza kuwa anapofungulia muziki kwa sauti ya juu ajue kuwa wenzake huwa wanakuwa katika hali hiyo pia.Miziki mikubwa hata sisi tunayo ila huwa inafanya kazi hapo kwa hapo! Meaning ukifungua yako anazima then kesho anarudia! Sanasana labda na wewe uwe unafungua kila siku! (Sasa sijui una muumiza au unajiumiza mwenyewe)
he he he, mbona mie si mdengereko ila kwa sauti tu, sijambo.
kanyi koko nyi kui!??
leka!!! Amba tiki wai...
Ni pm njiche ngama ngameny!
Hahah kumbe ni Mdengereko....!!!
Baada ya ulimwengu kuhamia dijitali basi hata wao wamehama kutoka ngoma za "Mdundiko, Segere" nk na kuja kwenye ulimwengu wa kubofya...
Ila hao dawa yao ni moja tu, ongea na vishoka wa mtaani wapige shoti nyumbani kwake, hizo tabu hutazipata tena
hahahahhahhah
Mkuu nenda kwao kawatie bakora familia nzima, ukishawatia mikwaju ya kutosha ndo uwaambie kwanini.... kesho hawatorudia tena kuweka sauti kubwa!!!!! :fencing: