Mara wao wana maisha yao na wewe una maisha yako. Mara unataka kuwaingilia kwenye maisha yao.Maskini amekuwa mtumwa kwenye ardh/kiwanja alichonunua,nyumba aliyojenga lakini hajafaidi matunda ya furaha ya ulimwengu huu lakini tayari ameshawekwa kwenye himaya ya mwanamke
Sijafurahishwa na hicho kitendo ingawa wao wanamaisha yao nami ninamaisha yangu lakini naomba nimsaidie huyo baba kwa kuwa hana ndugu wala mtoto
Kama anayejua dawa ya limbwata naomba anitajie
Mpeleke aombeweMaskini amekuwa mtumwa kwenye ardh/kiwanja alichonunua,nyumba aliyojenga lakini hajafaidi matunda ya furaha ya ulimwengu huu lakini tayari ameshawekwa kwenye himaya ya mwanamke
Sijafurahishwa na hicho kitendo ingawa wao wanamaisha yao nami ninamaisha yangu lakini naomba nimsaidie huyo baba kwa kuwa hana ndugu wala mtoto
Kama anayejua dawa ya limbwata naomba anitajie
wewe mtongoze awe wako.hahahaha how you know that its LIMBWATA.wezio wanapendana.Maskini amekuwa mtumwa kwenye ardh/kiwanja alichonunua,nyumba aliyojenga lakini hajafaidi matunda ya furaha ya ulimwengu huu lakini tayari ameshawekwa kwenye himaya ya mwanamke
Sijafurahishwa na hicho kitendo ingawa wao wanamaisha yao nami ninamaisha yangu lakini naomba nimsaidie huyo baba kwa kuwa hana ndugu wala mtoto
Kama anayejua dawa ya limbwata naomba anitajie
Dunia sivyo kama unavyoifikiria kirahis lakini ahsnt kw ushauriwewe mtongoze awe wako.hahahaha how you know that its LIMBWATA.wezio wanapendana.
swissme
Nadhani mkuu wewe ndiye uliyejinganya kuutafuta "utata" katika sentens hiyo kwa sababu kiunganishi 'ingawa' kimebeba maana niliyokusudia kwa ninyi hadhiraMara wao wana maisha yao na wewe una maisha yako. Mara unataka kuwaingilia kwenye maisha yao.
Wewe vipi?
jee unaishi nao nyumba moja ukajua mapenzi yao? nini kimekufanya mpaka ukasema LIMBWATA? kwahiyo ukipata mtu mkipendana na akikupa japo gari au nyumba inakua sio mapenzi nilibwata eeh?Maskini amekuwa mtumwa kwenye ardh/kiwanja alichonunua,nyumba aliyojenga lakini hajafaidi matunda ya furaha ya ulimwengu huu lakini tayari ameshawekwa kwenye himaya ya mwanamke
Sijafurahishwa na hicho kitendo ingawa wao wanamaisha yao nami ninamaisha yangu lakini naomba nimsaidie huyo baba kwa kuwa hana ndugu wala mtoto
Kama anayejua dawa ya limbwata naomba anitajie
Limbwata zipo... Usitetee uovu...jee unaishi nao nyumba moja ukajua mapenzi yao? nini kimekufanya mpaka ukasema LIMBWATA? kwahiyo ukipata mtu mkipendana na akikupa japo gari au nyumba inakua sio mapenzi nilibwata eeh?
Focus na maisha yako unapokua busy na maisha ya wenzio unasahau kuishi maisha yako,wala usitake kua na fikira mbovu mapenzi yao raha zao,wala hujui Baba wawatu amepewa raha gani ambazo kwengine alikua hazipati,na kumbuka kutoa ni moyo ukianza kufikiria hayo ya Limbwata utachelewa SANA kufikia malengo yako...
Ukiweka mawazo yako kwenye vitu kama hivyo na imani yako kama inadhania hivyo sidhani kama utaishi kwa amaniLimbwata zipo... Usitetee uovu...
Vijana wengi wanaharibiwa siku hizi. Inakera kwasababu tunaishi nao na hatuwwzi fanya kitu juu ya hilo.
Katika maisha kuna kitu kinaaitwa EMPATHY ni kutu ambacho ukiwa nacho utakuwa na roho aliyo nayo mtoa mada. Sitaki kuamini kwamba kuna wanafiki wanajifanya eti hakuna ushirikina, ukiwa na roho ya ubinafsi hutojali unapoona watu wanapigana na wanataka kuuana nadhan utakuwa bize kuwarekod na kisimu chako cha mchinna ili uwe wa kwanza kupost kwenye group lako wsapp au fcbook badala ya kusuluhisha ugomvi, hawa ndio bin adam wa leo.jee unaishi nao nyumba moja ukajua mapenzi yao? nini kimekufanya mpaka ukasema LIMBWATA? kwahiyo ukipata mtu mkipendana na akikupa japo gari au nyumba inakua sio mapenzi nilibwata eeh?
Focus na maisha yako unapokua busy na maisha ya wenzio unasahau kuishi maisha yako,wala usitake kua na fikira mbovu mapenzi yao raha zao,wala hujui Baba wawatu amepewa raha gani ambazo kwengine alikua hazipati,na kumbuka kutoa ni moyo ukianza kufikiria hayo ya Limbwata utachelewa SANA kufikia malengo yako...
Tusiwe wanafiki na waongo ushirikina na uchawi ulikuwepo tangu enzi ya YESU KRISTO na MTUME MUHAMMAD SAW hivyo kujifanya hujui au huaminj kama upo ni unafiki na uongo mkubwa na mara nyingi watu wanao jifanya hawaamini ushikina kama upo hao ndio washirika wakuu wa ushirikina.kuamini kuwa ushirikina upo na unafanya kaz sio dhambi wala kosa ila kosa ni kushiriki katika shirkiUkiweka mawazoako kwenye vitu kama hivyo na imani yako kama inadhania hivyo sidhani kama utaishi kwa amani
ni sawa na mtu asiejiamini...
Kama EMPATHY niku assume things ambazo huna uhakika nazo basi atakua hafanyi yake, na hakuna aseijua kua ushirikina haupo duniani lakini sio kitu chakufikiria yani mtu akimfanyia mtu wake kutu ndio Limbwata ,anyway nimawazo yake na fikra zake,You can lead a man to KNOWLEDGE but you can't make him THINK.... Pole kama ntakua nimekukera...Katika maisha kuna kitu kinaaitwa EMPATHY ni kutu ambacho ukiwa nacho utakuwa na roho aliyo nayo mtoa mada. Sitaki kuamini kwamba kuna wanafiki wanajifanya eti hakuna ushirikina, ukiwa na roho ya ubinafsi hutojali unapoona watu wanapigana na wanataka kuuana nadhan utakuwa bize kuwarekod na kisimu chako cha mchinna ili uwe wa kwanza kupost kwenye group lako wsapp au fcbook badala ya kusuluhisha ugomvi, hawa ndio bin adam wa leo.
Umejitahidi sanaa...Tusiwe wanafiki na waongo ushirikina na uchawi ulikuwepo tangu enzi ya YESU KRISTO na MTUME MUHAMMAD SAW hivyo kujifanya hujui au huaminj kama upo ni unafiki na uongo mkubwa na mara nyingi watu wanao jifanya hawaamini ushikina kama upo hao ndio washirika wakuu wa ushirikina.kuamini kuwa ushirikina upo na unafanya kaz sio dhambi wala kosa ila kosa ni kushiriki katika shirki
Sasa kama ushalijua hilo ya kuwa wana maisha yao kwanini unataka kuyaingilia? Alikwambia kuwa anataka msaada wako? Ukiulizwa kama wewe ndio ulimpeleka huyo mke kununua limbwata utasemaje? Hebu tuacheni umbea usiokuwa na maana. Maana hatma ya yote watu wanaweza tia shaka nia yako na hasa ikiwa ni mtoto wa kiume kutaka kumkomboa mwanaume mwenzio toka kwenye ndoa yake. Tazama yako ndugu.wao wanamaisha yao nami ninamaisha yangu lakini naomba nimsaidie huyo baba kwa kuwa hana ndugu wala mtoto
Kama anayejua dawa ya limbwata naomba anitajie
There is empathy and being simply mbea. Mtoa mada ni shawishi anaetaka kuingilia ndoa ya mtu. Bora angeombwa msaada lakini kwa kupitia umbea wake, sitostaajabu kama mtoa mada ameshapiga chabo pia kujua nini kinaendelea ndani kwa jamaa kupelekea conclusion ya kuwa jamaa kalishwa limbwata. Na watu design yake ndio wale wakijikwaa mbio kwa babu kusema kuwa karogwa. Ushirikina upo lakini sio katika kila jambo, watu wengine wanapenda kuwa dominated in their marriages mfano mzuri Dr. Slaa.Katika maisha kuna kitu kinaaitwa EMPATHY ni kutu ambacho ukiwa nacho utakuwa na roho aliyo nayo mtoa mada. Sitaki kuamini kwamba kuna wanafiki wanajifanya eti hakuna ushirikina, ukiwa na roho ya ubinafsi hutojali unapoona watu wanapigana na wanataka kuuana nadhan utakuwa bize kuwarekod na kisimu chako cha mchinna ili uwe wa kwanza kupost kwenye group lako wsapp au fcbook badala ya kusuluhisha ugomvi, hawa ndio bin adam wa leo.