Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
MI nipo km mleta uzi stak mazoea ya kimaandazninavyoona tatizo lipo kwako. hauna mazoea na watu.. huyo ni jiran ako.. so inabd umzoee maan nilivyoelewa yy anajitahd kwa hali na mali kukuzoea. anyways mwekee boundaries kwa kumwelezea anavozengua. tumeumbwa na kukulia katika mazingira tofauti so usishangae yy kuwa hivo. hajui kama anakukera.
MI napenda muvi za Samuel saana so nikiona Ile avatarwewe kama mimi,yaani yule jamaa kwny avatar huwa hana maneno mengi,yeye ni aisee au sawa
Yeah kweli kabisa, hata mi nawaonaga hivyo. Tena sometimes nahisiga wanaenjoy life kuliko sisi, nadhani tunajipa stress sana kwa hizi ambition zetu za ku-aim high kila kitu. Imaginary life tunayo-wish nahisi inatutesa sana bila kujijuwahuyo ni mswahili tu mwenye tamaa na mmbea. Nimeshakutana nao. Nilipomaliza chuo nilikaa nyumba ya peke yangu uswahilini kidogo nikawa naishi kivyangu vyangu sina habari na mtu zaidi ya salamu, ila baadae nikasema nisijitenge sana niwaungishe hata kusuka tu. loh! nilijuta. Mpaka umalize kusukwa ushahadithiwa stori ya kila mwanamke hapo mtaani na wala huwajui unaishia tu enhe..inhi..mmh. Ameshakwambia siri zake zote (we ndo unaona ni siri). Halafu wanawake wa kiswahili karibia wote wanajua wenzao vitu tunanunuliwa na wanaume, kwa hiyo akikuona na kitu kizuri anajua una "bonge la bwana"! Wale watu wanaishi maisha ya raha sana, hawana stress. Ambition kubwa ni kumiliki dera kama la flani, acheze upatu anunue "desin tebo" kama ya fulani .. baas.
Watu wa aina hii wapo sana. Wazoee tu. Ukute hakuna zaidi ya admiring tu.
Kuna kina dada flani hivi tunafanya kazi eneo moja. Kila mara wananiuliza nani ananisafishia viatu, nanunua wapi nguo, yadda yadda yadda. Mwingine aliomba shati nililovaa nikajua utani, bwana we.... niliishia kumpa tu.
Huyo demu mshamba. Kwa maneno mengine ushamba unamsumbua.Nashindwa kumuelewa jirani yangu na ananifanya nisiwe comfortable.... Nyumba ninayoishi tupo watano kila mtu na kwake anaijtegemea wote ni vijana na hakuna mwenye familia. Tupo wadada wawili tu. Huyu dada jirani yangu alinikuta wakati akihamia hapo na mwanzoni alipata matatizo nikamsaidia kama kama ambavyo ningemsaidia binadamu yoyote. Aliumwa na hakuwa na ndugu karibu (kwao Shinyanga) hivyo nilimhudumia kwa ukarimu wote nilimpikia, na kumsaidia kufanya usafi hadi alipopata nafuu.
Baada ya kupona maisha yaliendelea japo hatukua na ukaribu zaidi ya salamu na mambo basic kama kushare bills. Kumbuka sisi ni vijana na pretty much ndio tumeanza kujitegema so hatujajiestablish kihiivyo...ila nimegundua huyu jirani yangu ni kama anawivu ama sijui ni kitu gani. Alipokuja kwangu kila alichokiona alitaka kujua ni menunua bei gani na vingine alidiriki kuniuliza umenunuliwa na mpenzi wako? Sikumbuki nilipotezeaje coz sionagi kama ni sawa ku disclose mambo yangu binafsi kwa mtu ambae sio wa karibu.
Ila naona ni kama tabia kila tukionana akiona nimebadilisha style atauliza umesuka bei gani, juzi kaniona na simu kaniuliza mbona hujanionyesha kitu kipya. yani hata nikinunua maybe kiblouse kipya lazima atauliza. Kinachonimaliza ni kwamba hata kama niko ndani napika ataongea from her room eeeeh jirani leo unapika samaki au leo unapika kitu flani? Hua namjibu kwa maneno machache tu.
Bottom line ni kwamba she makes me uncomfortable!!!!!!! Yani very uncomfortable!!!!! Akiona mpenzi wangu wangu yupo ndani atakuja kunigongea either aombe kitunguu au kibiriti.
Nisaidieni jirani wa hivi naishije nae?????
NI kweli ahame hapo...Hama uswahilini, tafuta mahali penye hadhi yako kama huwezi maisha ya uswazi....
Tatizo you are the right person in a wrong place....
Hahaha yule hana tatizo anawaza tu hela
hebu muulize anataka mkopo!!? maana huyu kaka yetu akiishiwa ana njia nyingi kweli za kuomba hela.Hahahah ngoja nimuite atotoooooooooo
unadhani ningekuwa napewa ningekuwa napiga kelele hivyo!!! ningekuwa metulia tuliii.Hivi hela zenyewe anapewaga kweli, usikute ni mwendo wa kukopwa tu, teh!!
Ila usimwambie nimeongea hivi aisee
Shikamoo MSAGA SUMU.aiseee,in kabanga voice
Nashindwa kumuelewa jirani yangu na ananifanya nisiwe comfortable.... Nyumba ninayoishi tupo watano kila mtu na kwake anaijtegemea wote ni vijana na hakuna mwenye familia. Tupo wadada wawili tu. Huyu dada jirani yangu alinikuta wakati akihamia hapo na mwanzoni alipata matatizo nikamsaidia kama kama ambavyo ningemsaidia binadamu yoyote. Aliumwa na hakuwa na ndugu karibu (kwao Shinyanga) hivyo nilimhudumia kwa ukarimu wote nilimpikia, na kumsaidia kufanya usafi hadi alipopata nafuu.
Baada ya kupona maisha yaliendelea japo hatukua na ukaribu zaidi ya salamu na mambo basic kama kushare bills. Kumbuka sisi ni vijana na pretty much ndio tumeanza kujitegema so hatujajiestablish kihiivyo...ila nimegundua huyu jirani yangu ni kama anawivu ama sijui ni kitu gani. Alipokuja kwangu kila alichokiona alitaka kujua ni menunua bei gani na vingine alidiriki kuniuliza umenunuliwa na mpenzi wako? Sikumbuki nilipotezeaje coz sionagi kama ni sawa ku disclose mambo yangu binafsi kwa mtu ambae sio wa karibu.
Ila naona ni kama tabia kila tukionana akiona nimebadilisha style atauliza umesuka bei gani, juzi kaniona na simu kaniuliza mbona hujanionyesha kitu kipya. yani hata nikinunua maybe kiblouse kipya lazima atauliza. Kinachonimaliza ni kwamba hata kama niko ndani napika ataongea from her room eeeeh jirani leo unapika samaki au leo unapika kitu flani? Hua namjibu kwa maneno machache tu.
Bottom line ni kwamba she makes me uncomfortable!!!!!!! Yani very uncomfortable!!!!! Akiona mpenzi wangu wangu yupo ndani atakuja kunigongea either aombe kitunguu au kibiriti.
Nisaidieni jirani wa hivi naishije nae?????
siku nyingine jamaa yako akija kukutembelea weka kibirit na kitunguu nje,akipiga hodi tu mwambie vitu vyuko nje tayar
Hahaaaaaaa duuh!!unadhani ningekuwa napewa ningekuwa napiga kelele hivyo!!! ningekuwa metulia tuliii.
Sasa namba unijibu swali langu tafadhali,je wewe na yeye na mzuri na anapendeza zaidi kimpita mwenzie?.Nadhani amekuzidi kwa mbali au?Haahahaha nimecheka asante kwa tip.Usefull indeed.