Jirani yangu simwelewi


Bora umejionea. Mambo yake mengine siwezi ongea coz hayanihusu ila kwa story unazoongea waweza kua mpangaji mwenzangu kati ya wale wakaa maana mmoja
Don't sweat it. If she steals him, I gotcha.

On a serious note, just talk to her. Tell her how uncomfortable she makes you. You got nothing to lose.

Hahahaha its not even that.....I'll think about that (talking to her) ikizidi I will. Thanks.
 
Hahahah Olivia hakika ww ni mchokozi,haya maudhi ni kama ya bint machozi ( jide)
 


Hahaha nakusubiria wewe ndie unafaa hasa kuwa mke mwenzangu, maana una vigezo vyote, vya kuchambua majirani
 
Hahaha nakusubiria wewe ndie unafaa hasa kuwa mke mwenzangu, maana una vigezo vyote, vya kuchambua majirani
Si bora kuchambua majirani kuliko kumchambua mumeo mbele ya house girl??? Kwa taarifa yako nikiwa mke mwenza wako jiandae kupewa talaka maana kwa kukusoma tu naona ZERO!!
 
Tafuta movie inayendana na hizo tabia then mkaribishe muicheki wote. Sasa hapo ndo utakuwa unasubiri tu ikijionyesha tabia mojawapo unamgongelea "siipendi hiyo tabia, watu wengine sijui wakoje". Slowly atabadilika and she will be a nice girl to you.
Huwezi jua, Mungu kamleta hapo kwa maksudi ili apate darasa toka kwako. Unaonekana mjanja, so I am sure hiyo ni ishu ndogo huwezi kuishindwa kuihandle. Otherwise, it feels so good helping someone to move from one point (lower level) to another point (higher level). Good luck Mama wa "Scandal!"!
 
It's handled (in Olivia's voice)! Asante kwa ushauri though...
 
Aaah lile shati nilokununulia wewe umehonga, Chinekeeeee. Afu huko kazini haya, waendelee tu kukuuliza nani anakufutia viatu
Aisee roho imeniuma sana,ama kweli hakuna kapa isiyokuwa na usubi,Yaan wenzangu wananunuliwa mpaka mashati....tip tap tip...
!
 
Aisee roho imeniuma sana,ama kweli hakuna kapa isiyokuwa na usubi,Yaan wenzangu wananunuliwa mpaka mashati....tip tap tip...
!
Teh usijali mpendwa, na wewe Mungu atakupa anayekununulia kila kitu
 
Siku moja usiku mwite chumbani kwako, akiingia zima taa sekunde tatu washa akukute umeshika bisu kubwa, atastuka, mwonye kwa ishara asisubutu kupiga ukelele, kisha mwambie, "USINIZOEE KUANZIA LEO VINGINEVYO UTAIJUA KAZI YANGU" zima taa mwambie "POTEA" hatorudia na nyumba atahama.
 
Uwii
wewe ndo umenifanya nicheke kwa sauti.Hahahahaha
 
Huyo ni kumvalia sura ya mbuzi tu apo inabaki salam basi, ukirudi ndani kwako kimyaaaa mwenzio anaonekana wa uswazi mnooo potezea utaishi kwa amani sana
 
Niunganishe naye, nitamweka bize asikusumbue, mwambie nimekutafutia babu wa kukulea!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…