Jirani yangu simuelewi

mpotezee tu wngine wamesema utakosa uhuru na mimi hiyo ndiyo wasi wasi wangu mkubwa mawivu ya kijinga kama umeoa vile na atahamia kwako ........... halafu nimewazaUSIKUTE KODI YAKE INAKARIBIA KUISHA UINGIE MKENGE IWE KIMOJA HA AHA HAHAHAHA

Hahahahahahahaahah madam unaakil zakiume flan asee, kwenye issue ya vyeti fek aliniomba nimkopeshe kiasi flan cha pesa, mimi nikahis mmm asije akawa ni kati ya wale ambao wanatakiwa wabadili style ya maisha kwa kurudi mtaani nikamjib kirahis sana mambo sio mazuri sina pesa, akaridhika
 

MJINGA WEWE, SAA 5 USIKU ALIKUWA KALALA UNAFIKIRI ATAKUWA KAVAA NINI? JITAHIDI POMBE ZIISHE USIJE FANYA UJINGA
 
ha ahahha chunguza hilo kwanza ha hahaha
 


Kaka Ulitaka Usiku huyo Mdada avae Gagulo au Gunia? Yaani hizo Pombe ndio zimekupa Mchecheto au? Hakuna wa Kukushauri hapa acha Uzwazwa, Yaani umeona tu Transparency ya Kanga unaleta hapa kama vile ni kitu cha ajabu kwa mdada kukivaa.. Hilo ni Pepo la Ngono lililo catalyised na Pombe...Hukupiga Punyeto kweli
 

We jamaa sasa ndio mwisho wako wakufikiri ?
 
Dalili za mtu kutafunwa naziona kwa mbaaaaliiiiiii.......
 
Akili zako ni hatar sana huo mkataba wa kwanza kama vile umeainisha mambo ambayo hayatahusika sasa pesa za kodi siyo moja wapo ?
huo mkataba mnatakiwa wote mridhie lakini si wewe umdanganye unampenda kumbe lengo lako ni kupunguza protin.. ukiona hakubali acahana nae tu
 
Sasa chupi kwenye kamba ...nisawa nakuiona papuchi imevimba kwenye chupi???

Chupi kuwa na kamba inaweza isiwe sababu kivile, Issue ni maungo yale vile chupi imekatisa unaweza jipata unakumbatia mtu ghafla
 
mpotezee tu sababu kuna njia nyingi yakukuganda moja nyepesi na rahisi kukutegeshea mimba ha hahaha

Nguvu mbili hapo zinakinzana mpaka bas woga mwingine naweza kuwa na kazi yakupeleka mtu kazin kwake ndio namimi nije kazin
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…