Jirani yangu simuelewi

Umesema ni usiku wa saa tano ulitegemea awe kavaa vazi gani zaidi ya la kulalia?
Kama umemtamani we fanya mchakato wa kumpata lakini usijipe stress eti umetegwa hapo nakukatalia.
 
Kama umeingia ndani weee lala tu kesho uende kazini.
 
Si ashakufungulia na umeingia na funguo alikupa!!!
 
humuelewi jirani au hujielewi wewe

Na hizo pombe zako si ajabu hata hakuwa amevaa hivyo
 
 
Mimi nakushauri umwelewe tu. Ukiona iakuwia vigumu kumwelewa basi jitahidi zaidi ili umwelewe.
 


Maana yake alitoka kupiga mzigo na msela wake ndani,ila kwa kukuheshimu alikufungulia faster ili akaendelee kula gemu
 
Mkuu inawezekana sijakutendea haki. Nilichotaka kusema ni kuwa ungesubiri kwanza sober ikaisha, thena ukamuona mchana , halafu mwabie jioni twende dinner mwabie unachohisi je na yeye hivyo hivyo? laki ukiwa hujanywa. maana inawezekana alidhania kuacha ufunguo pale ulimtegshea halafu ujifanya kumpigia ili akufungulie ucku, naye akajiandaa. kumbe sio lengo lako. Jihoji mwenyewe ukiwa kichwani umekunywa maji ama juice. pole kama nimekukwaza kukupa majibu ya mkato.
 
Ukimla huyo huwezi kuimport mkuu,unajifunga anajiozzesh kabisa anahamia kwako!
 
acha ubashite....hata bashite hajiuliz mara mbili kama wewe unavyolia lia hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…