jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 5,843
- 7,758
Hakuna kitu sikipendi kama wwe kama Baba nyumbani umepiga marufuku watoto wako wa primary hakuna matumizi ya smart phone, alafu kuna huyu family friend mnaheshimiana sana lakini akimleta mtoto wake for visit lazima huyo mtoto au watoto waje na hizo.smart phone zao! Sipendi kabisa hiyo tabiya!!!Ukipata familia utanielewa kijana