Jirani yangu ananigongea mlango usiku

Humu ndani kuna mambo!! Badala umfuate umuulize unakuja kutueleza sisi
 
Hadithi ya kutunga! Kama ingekuwa kweli hivyo kwa nini asubuhi hujamuuliza kama ni yeye alikuwa anagonga mlango na kulikoni usiku hivyo?
Sijamuuliza kwa sababuhakutaka nijue kama ni yeye, lakini milango yake ikiwa inafungwa ulinipa hakika kwamba ni yeye.
 
Chura ipo....

Mpe nao tu......

Huyo anataka mpipi,jiongezeee

Ova
 
Mzee usiku usikiamini hata kivuli chako, muulize ama mwambie jana kuna mtu alinigongea usiku je ulikuwa ni wewe? Akisema si yeye potezea akisema ni yeye akuambie alikuwa anataka nini na ukiona maelezo hayaeleweki kuwa makini nae
 
Watu wengine wanajkuta mahandsom boy kwer...

Et haelew knachoendelea anakuja kutuulza ss maswal ya kumuulza Jran yake

Kwa jcho lingine .. tumasema n domozege lililojfchia kwa mlango wa "usiku wote huu ,nna usingiZ na nmechoka
 
ulikua sahihi kabisa kutomfungulia, binafsi mi usiku mtu akiinita hata kama namsikia namvungia mpaka aite zaid ndo ntakapo muuliza we nani shida nini akijibu ndo ntaangaika kumfungulia, pili lazma uwe na namba za majirani zako incase of emejency, dunia ishakua ivyo hii utachomolewa figo kizembe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…