West standard
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 441
- 649
Kama ndiyo mara ya kwanza ulitakiwa ufungue umsikilize huenda alikuwa na emergenceHabari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
Ananiharibia pozi la usingizi.Wewe humtongozi unafikiri yeye hana nyege..! Nipe namba zake kaka huwezi nikusaidie hata kugongea tena usiku
Mkuu wewe ukigongewa mlango usiku wa saa saba utafanyaje?Umeshindwa kumsaidia jirani yako unakuja kutuuliza si tutajibu nini
Nauliza nani shida nini kabla sijafungua mlango afu mlango wako hauna geti kwa nje ambalo huonesha nani hata ukifungua mlango linakuwa bado geti???Mkuu wewe ukigongewa mlango usiku wa saa saba utafanyaje?
Hukusema yote bali umeparaza tu. Acha ufala funguka mabaharia tukupe mbinu.Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
Mlango upo,ni ule wa geti unaofunga kwa ndani ukiwa nje.Nauliza nani shida nini kabla sijafungua mlango afu mlango wako hauna geti kwa nje ambalo huonesha nani hata ukifungua mlango linakuwa bado geti???
Si ndiyo. Mimi nina ratiba zangu za kulala masaa nane kila siku, halafu mtu anaamka usiku kuja kunigongea.fujo tuu.Kiukweli kuamshana usiku inaboa labda iwe kuna dharura au tatizo ..
Atakuja jf kutoa taarifa kuwa jirani anamgongea mlango saa saba za usiku.Mkuu wewe ukigongewa mlango usiku wa saa saba utafanyaje?
Na ndiyo maana sikufungua, unajuaje mtu usiku huo ana jambo gani?Hukusema yote bali umeparaza tu. Acha ufala funguka mabaharia tukupe mbinu.
Huenda alitaka ufungue mlango ili mjuba aingie akulawiti. Dunia ina mambo sana jombaaa.
Usidhani kila wakati ni fursa,kuna wakati nawe waweza kuwa fursa kwa wenye uchu.
[emoji2][emoji2][emoji2
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3257]Wewe humtongozi unafikiri yeye hana nyege..! Nipe namba zake kaka huwezi nikusaidie hata kugongea tena usiku
Ooooh ungekuwa ule wa mbao na geti ni easy kujua ni naniMlango upo,ni ule wa geti unaofunga kwa ndani ukiwa nje.
Piga sasa wewe alaaaaaah (in ommy Dj voice[emoji23]Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
Huwa inaboa sanaSi ndiyo. Mimi nina ratiba zangu za kulala masaa nane kila siku, halafu mtu anaamka usiku kuja kunigongea.fujo tuu.