Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

mkeo ulizaliwa nae mpaka unashindwa kuwachukulia hatua? samahani kwa hili Mkuu, nahisi wewe ni muoga ktk maamuzi ya kiumeni...mke kukusaliti ni bora usijue kuliko kujua na kukaa kimya, kuna siku utakuta anakazwa chumbani kwako
 
Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza wife japo mkewangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza wife na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.

Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
Ukihisi kitu ujue kimetokea. Fanya utafiti halafu fanya maamuzi lakini naomba usipige au kuumiza mtu hapo utakuwa unazoa kesi bila sababu ya msingi.
 
Kama unamwamini si kitu cha kusumbua wanawake wanatongozwa kila siku sehemu zote tu. Huo ni uamuzi wa mkeo kutongozwa akakubali. Lakini inavyoonyesha hata mkeo humuamini pia sasa hapo ni tatizo.
 
Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza wife japo mkewangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza wife na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.

Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.

Asee pole sana. Inabidi uwe na kifua kweli kweli na muombe mungu akuepushe na hasira zinazoweza kusababisha hasara kubwa maishani mwako. Kupata ushahidi wa moja kwa moja ni vigumu sana. Kamilisha ungunguzi wako kimya kimya bila kuonyesha chochote ni hatua ngumu sana kwani kuna wakati hata ile ngoma ya usiku kwa mkeo hutaitamani. ukikamilisha muweke mkeo kwenye kona mdadisi ukitolea mfano wa baadhi ya ushahidi wako. majibu yake yatakupa mwanga wa nini cha kufanya.

Swali la kichokozi hivi na wewe huna mchepuko?
 
Kuishi na jinsia ya kike ni mtihani tu ambao utafeli.nilichogundua disadvantage ni nyingi sana ndani ya ndoa.inshort hakuna raha yoyote km tunavyoaminishwa.

Kweli kaka, kuishi na kiumbe wa kike kama mkeo lazima utafeli tu, waweza mpa kila kitu lakini moyo wake ukapenda asipewe chichote na wew
 
inaumiza sana.yani kuna muda nikimwangalia wife natamani nimmeze maana naona kama ananisanifu hivi. ila kuna muda utafika nitachukua maamuzi magumu sana we subiri
Muage wife umesafiri halafu uweke mtego , akinasa tu ufanye maamuzi
 
inaumiza sana.yani kuna muda nikimwangalia wife natamani nimmeze maana naona kama ananisanifu hivi. ila kuna muda utafika nitachukua maamuzi magumu sana we subiri
Usikubali kuzidiwa na hasira itakuletea matatizo makubwa sema na mkeo kwanza pili thibitisha basi kama ni kweli ukikundua ni kweli tafuta mtu wa karibu na huyo jirani yako amwambie juu ya mchezo anaofanya aachane nao. Venginevo bro kuna kifo na jela itakuwa inakuhusu Ila usife kwa ajili ya mwanamke na wala usende jela pia dhibiti hasira kaka.
 
Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza wife japo mkewangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza wife na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.

Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
Tafuta mijaa 2 mmteke akiwa ametoka out then mkanye kwa ukali huku ukimpigapiga panga mgongoni. Then rudi kwa mkeo mkanye pia kwa lipanga hilo hilo mwambie mchezo wake mchafu ushaujua. Ila uwe na uhakika kama unayoongea hapa ni ya kweli. Kama atarudia huna mke mpeleke kwao.
 
Asee pole sana. Inabidi uwe na kifua kweli kweli na muombe mungu akuepushe na hasira zinazoweza kusababisha hasara kubwa maishani mwako. Kupata ushahidi wa moja kwa moja ni vigumu sana. Kamilisha ungunguzi wako kimya kimya bila kuonyesha chochote ni hatua ngumu sana kwani kuna wakati hata ile ngoma ya usiku kwa mkeo hutaitamani. ukikamilisha muweke mkeo kwenye kona mdadisi ukitolea mfano wa baadhi ya ushahidi wako. majibu yake yatakupa mwanga wa nini cha kufanya.

Swali la kichokozi hivi na wewe huna mchepuko?
mchepuko ninao
 
Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza wife japo mkewangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza wife na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.

Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
Mkuu, mwanamke kutongozwa sio ajabu, anaweza kutongozwa hata kiutaniutani tu ila kinachotia mashaka ni kwa nini mkeo hakwambii maana ktk hali ya kawaida angechoka na mizaha ya huyo jirani na angeshakwambia ili umfikishie ujumbe ili kumuonya. Inaonekana mkeo anafurahia mizaha ya kutongozwa na huyo jirani. Kumbuka usemi wa wahenga kuwa mzahamzaha mguu huota tende.

Vv
 
Back
Top Bottom