Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,406
15,988
Wakuu huyu jamaa simjui vizuri Ila nahisi ni mtumishi wa Serekali, kwanza kiwanja chake ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800.

Sasa kinachonipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake aliouanzisha hivi karibuni, anajenga ghorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote imeitazamisha kwangu.

Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu watakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla.

Mimi Sina uwezo kwa sasa wa kujenga ghorofa ila itabidi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbani.

Vinginevyo nitamuende nimuuzie hicho kiwanja changu, mimi nitafute kwingine.

Am stressed u know.

IMG_20231229_102252_2.jpg
 
Wakuu huyu jamaa simjui vzr Ila nahisi Ni mtumishi wa serekali ,Kwanza kiwanja chake Ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800...
Sijui kwa nini watu wengi wenye low income wanakuwa na roho mbaya sana.

Jirani nitakuwa nalipia king'amuzi na kuangalia tv sebuleni kwangu, sitawageuza nyie kama sinema...

Halafu kiwanja chako hakuna ukuta zaidi ya sisi majirani zako kulia na kushoto tumejenga kuta kuzuia tabia yako ya kutupa taka kwenye plots zetu. Tulishakuambia sana na husikii..

Subiri jirani kiwanja cha nyuma kwako ajenge ukuta ili nawe upate kufunga kwa mbele. Lakini punguza roho ya kimaskini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom