Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Usalama wako uko hatarini kisa tu jirani anajenga ghorofa? au una jambo lingine lililo jificha? Nenda Polisi waambie usalama wako umo hatarini maana ndio kazi yao hiyo ya kulinda Raia na mali zao. Kazi unayo maana mpaka anajenga hilo ghorofa, vibali vyote kapewa na halmashari, baraza la madiwani, ardhi na hati ya nyumba/kiwanja anavyo, sasa sijui utachomokea wapi... jenga na wewe lako hata kwa kukopa bank na ulipe polepole. Acha wivu na mastori ya uongo ya usalama wako.
 
Wakuu huyu jamaa simjui vzr Ila nahisi Ni mtumishi wa serekali ,Kwanza kiwanja chake Ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800

Sasa kinacho Nipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake alio uanzisha hivi karibuni ,anajenga gorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote inameitazamisha kwangu

Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu atakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla

Mm Sina uwezo kwa Sasa wa kujenga gorofa ila itabdi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbni

Vingenevyo nitamuende nimuuzie hcho kiwanja changu mm nitafuta kwingine

Am stressed u know View attachment 2933773
Mkuu,
Kwako Ni hapo ulipo SESA eee

NB.
Matajir huwa hatunaga muda na mambo ya watu sisi tupo busy na ngawila..

Note. Mimi sio tajir 😊
 
Wakuu huyu jamaa simjui vzr Ila nahisi Ni mtumishi wa serekali ,Kwanza kiwanja chake Ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800
Humjui vizuri, ila unahisi anafanya kazi serikalini, kiwanja chake ni kikubwa kuliko chako na unajua mpaka vipimo vya kiwanja chake, mbona inaonekana huyo jirani yako ndio inabidi awe na stress juu yako maana inaonekana una ka roho fulani ka wivu na uswahili swahili wa kufuatilia mambo yake??? Anyway Usipende kufuatilia mambo ya watu.
 
Wakuu huyu jamaa simjui vzr Ila nahisi Ni mtumishi wa serekali ,Kwanza kiwanja chake Ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800

Sasa kinacho Nipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake alio uanzisha hivi karibuni ,anajenga gorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote inameitazamisha kwangu

Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu atakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla

Mm Sina uwezo kwa Sasa wa kujenga gorofa ila itabdi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbni

Vingenevyo nitamuende nimuuzie hcho kiwanja changu mm nitafuta kwingine

Am stressed u know View attachment 2933773

Hili nalichukulia kama tangazo,

Je, unauzaje hicho kiwanja cha sqm 800, na hapo ni sehemu gani Dom?
 
Usalama wako uko hatarini kisa tu jirani anajenga ghorofa? au una jambo lingine lililo jificha? Nenda Polisi waambie usalama wako umo hatarini maana ndio kazi yao hiyo ya kulinda Raia na mali zao. Kazi unayo maana mpaka anajenga hilo ghorofa, vibari vyote kapewa na halmashari, baraza la madiwani, ardhi na hati ya nyumba/kiwanja anavyo, sasa sijui utachomokea wapi... jenga na wewe lako hata kwa kukopa bank na ulipe polepole. Acha wivu na mastori ya uongo ya usalama wako.
Anajenga ghorofa posta
 
Humjui vizuri, ila unahisi anafanya kazi serikalini, kiwanja chake ni kikubwa kuliko chako na unajua mpaka vipimo vya kiwanja chake, mbona inaonekana huyo jirani yako ndio inabidi awe na stress juu yako maana inaonekana una ka roho fulani ka wivu na uswahili swahili wa kufuatilia mambo yake??? anyway Usipende kufuatilia mambo ya watu.
Nimekijuwa kwa vile kwenye survey map jiji walio tupa inaonesha kwa viwanja na kila ukubwa wake hvyo hata yeye lzm Ana kopi na anajuwa changu Ni ukumbwa upi

Kama ghorofa akajenge post tu ,

Hata kigogo mmkbwa Sana wa serekali hi ya Samia nae kajenga hapo Happ na Wala siyo ghorofa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom