Jirani yangu amefariki Muhimbili kwa uzembe

Ikabidi ufanyike upasuaji mwingine kukiondoa na hapo think kuna kidonda juu, ile kupasua tena kukiondoa mmewe na ndugu wapo nje saa 8 wanauliza tu vp ndugu yetu huko majibu kuja kutoka ameshafariki

HIzi hospitali ukipata mwanasheria mzuri unaweza fidiwa mabilioni.
Oya nahisi km ni mimi basi nitakufa na hao madaktari na manesi waliopachika hicho kisu huko tumboni.. tuzikwe wote siku hiohio sio kwa kufanyiana mauaji ya lazima kiasi hicho
 
Bora private hospital kuliko hizi za umma aiseee
 
Huyu mama siku chache zilizopita alifanyiwa upasuaji akajifungua baada ya kuruhusiwa ile kufika nyumbani akaanza kuhisi maumivu makali sehemu alipopasuliwa, mean alipofanyiwa upasuaji akaanza kuhisi kuna kitu kinachoma kwa ndani na maumivu makali ikabidi wamrudishe Muhimbili

Ile kurudiashwa wakamfanyia uchunguzi, majibu yakatoka waliomshona walisahau kitu ndani kama kimkasi wakakishonea huko bwana.

Ikabidi ufanyike upasuaji mwingine kukiondoa na hapo think kuna kidonda juu, ile kupasua tena kukiondoa mmewe na ndugu wapo nje saa 8 wanauliza tu vp ndugu yetu huko majibu kuja kutoka ameshafariki

HIzi hospitali ukipata mwanasheria mzuri unaweza fidiwa mabilioni.
Poleni sana. Huyo ni mmoja wa wahanga wengi wanaofariki hospitalini kwa sababu ya uzembe na ukilaza. Suluhisho ni watu kutoka kwa wingi sana hiyo Dec 9, tuwaondoe hawa viongozi walioshindwa kila kitu wanabaki kuua tu. Japo itachukuwa muda uongozi mwingine kurekebisha huu uzembe, lakini angalau tutakuwa na tumaini la mabadiliko. Unasema kwenda mahakamani.... sawa waambie wajaribu japo nadhani mahakama zetu unazijua.
 
Mke wangu waliishashonea pamba ndani, hospitali moja mikocheni pale, kwenye njia ya uzazi chini, tunashangaa maumivu hayapoi akikaa ni kuloana tu..baada ya muda pamba ikachungulia..kurudi wakafanya upasuaji wa haraka kama wamekurupushwa...Alipona lkn mateso alipitia sio ya mchezo, 5 yrs back
 
Sorry guys
 
Hapo eshalipa mahela ya kutosha kwenye so called "mfumo wa malipo"

Madaktari bingwa siku hizi utaeasoma kwenye kitabu Cha orodha ya madaktari tu lakini Wodini wapo vijana wa intern au madaktari vijana wachanga

Madaktari bingwa wapo kwenye semina, makongamano , mapresentention, safari za nje ya nchi na miradi Yao binafsi

Bongo utasikia wanajitapa wamefanikiwa kufanya upasuaji mkubwa na hatarishi ila wanafuatilia baada ya hapo anadumu?
 
Huyu mama siku chache zilizopita alifanyiwa upasuaji akajifungua baada ya kuruhusiwa ile kufika nyumbani akaanza kuhisi maumivu makali sehemu alipopasuliwa, mean alipofanyiwa upasuaji akaanza kuhisi kuna kitu kinachoma kwa ndani na maumivu makali ikabidi wamrudishe Muhimbili

Ile kurudiashwa wakamfanyia uchunguzi, majibu yakatoka waliomshona walisahau kitu ndani kama kimkasi wakakishonea huko bwana.

Ikabidi ufanyike upasuaji mwingine kukiondoa na hapo think kuna kidonda juu, ile kupasua tena kukiondoa mmewe na ndugu wapo nje saa 8 wanauliza tu vp ndugu yetu huko majibu kuja kutoka ameshafariki

HIzi hospitali ukipata mwanasheria mzuri unaweza fidiwa mabilioni.
Mwanasheria Wawapi wakati kabla ya op unasainishwa uwe tayari Kwa lolote. Au Kwa wazazi hakunaga kusaini, kama sivyo fubgueni kesi ila kama ndivyo mnajisumbua, Ile doc inawabeba.
 
Ufidiwe mabilion kwa kifo cha Mtu? Will it change anything..

Kila kitu kinakua hakiendi kwasababu ya Uongozi DUNI, Hapo unakuta madactari wapo overworked for the name of Emergency & Save life, Ukiongezea na malipo DUNI lazima utapata service mbovu tuu.
Ndio, KUFIDIWA.
Sio billions tu Ikibidi Trillions, hizo pesa zitatumika kulea/kukuza kichanga kilichoachwa kutokana na uzembe wa makanjanja yanayojiita doctors.

Sababu ulizoziorodhesha hapo ni za hovyo kabisa na hakuna hata moja inayohalalisha ujinga uliofanyika
Udaktari una ethics zake ambazo ni LAZIMA kuzifuta ili kulinda usalama wa mgonjwa ambao hautakiwi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na hali ya daktari anayemhudumia.

Nchi za mbele ujinga kama huu ni lazima sheria ichukue mkondo wake ili kumpa mgonjwa(mzima/mfu) haki yake kisheria pia kulinda heshima ya taaluma ya udaktari.
 
Iliwahi kutokea kipindi kirefu tu dokta kaacha mkasi kichwani/tumboni kwa mtu.
Iliishaje?alisamehewa
 
Huyu mama siku chache zilizopita alifanyiwa upasuaji akajifungua baada ya kuruhusiwa ile kufika nyumbani akaanza kuhisi maumivu makali sehemu alipopasuliwa, mean alipofanyiwa upasuaji akaanza kuhisi kuna kitu kinachoma kwa ndani na maumivu makali ikabidi wamrudishe Muhimbili

Ile kurudiashwa wakamfanyia uchunguzi, majibu yakatoka waliomshona walisahau kitu ndani kama kimkasi wakakishonea huko bwana.

Ikabidi ufanyike upasuaji mwingine kukiondoa na hapo think kuna kidonda juu, ile kupasua tena kukiondoa mmewe na ndugu wapo nje saa 8 wanauliza tu vp ndugu yetu huko majibu kuja kutoka ameshafariki

HIzi hospitali ukipata mwanasheria mzuri unaweza fidiwa mabilioni.
Dada yangu alifariki Muhimbili walisahau au waliuwacha mfuko wa uzazi anaokalia mtoto. Binamu yangu pia alifaliki nae walisahao mkasi hapo hapo Muhimbili. Guys tuna kazi kwelikweli nchi hii
 
Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun

Hakika sote ni wa Mwenyezi Mungu na hakika kwake tutarejea
 
Back
Top Bottom