Jirani yako akiwa mngoni, chunga mkeo.

Ni kama utani vile lakini naamini siku moja utakuja kuthibitisha maneno yangu kama utapata jirani ambaye ni mngoni. Jamaa wanatisha kwa kuchakachua wake za watu, Kama huwajui ukipata jirani mwenye jina la mnyama au linalofanana na mnyama anza kuwa na mashaka, Ukisikia Mapunda, Ngonyani, Tembo, Matembo anza kutafuta mbinu za ulinzi shirikishi kwa mkeo, yaani Wangoni ni balaaa!
Na wachaga je
 
watanzania mna mawazo mabovu,
siwezi kumlinda mwanamke hata siku moja,nina mambo mengi sana ya kufanya,akafie mbele
 
jamani mtatufanya tufukuzwe mjini hapa turudi NDILIMA ZA WAYAHI kwa miguu bure sisi hatunyemelei wake za bwana wewe mke wa mtu ni sumu anuuu!
 
watanzania mna mawazo mabovu,
siwezi kumlinda mwanamke hata siku moja,nina mambo mengi sana ya kufanya,akafie mbele

Unamaanisha nini? Huna wivu au inakuwaje! sijaelewa hapa au na wewe huna mpango wa kukagua simu ya mkeo kama mimi nitakavyofanya nikishaoa?
 
jamani mtatufanya tufukuzwe mjini hapa turudi NDILIMA ZA WAYAHI kwa miguu bure sisi hatunyemelei wake za bwana wewe mke wa mtu ni sumu anuuu!
Aaah! wapi tena ukioa mngoni mwenzenu ndo kabisa anazungumzia dirishani tu! utasikia "NENE NIKUGANILI KWEI!" Vicheko vinaanza mambo yameiva.
 
Unamaanisha nini? Huna wivu au inakuwaje! sijaelewa hapa au na wewe huna mpango wa kukagua simu ya mkeo kama mimi nitakavyofanya nikishaoa?

kukagua simu ya mke wangu??nina wazimu??yule ni mtoto wa watu baba,,ana uwezo wa kuondoka na kuniacha nashangaa,,hujaona mifano??nafikiri mimi nina akili sana,,sifanyagi upumbavu,,mwanamke kama tunaishi ni heshima peke yake inatakiwa!!thats all,,
 
Ni kama utani vile lakini naamini siku moja utakuja kuthibitisha maneno yangu kama utapata jirani ambaye ni mngoni. Jamaa wanatisha kwa kuchakachua wake za watu, Kama huwajui ukipata jirani mwenye jina la mnyama au linalofanana na mnyama anza kuwa na mashaka, Ukisikia Mapunda, Ngonyani, Tembo, Matembo anza kutafuta mbinu za ulinzi shirikishi kwa mkeo, yaani Wangoni ni balaaa!

Inaelekea kuna Mngoni kakufanza kitu mbaya..na wewe mdinye mkewe,shida iko wapi??
 
kukagua simu ya mke wangu??nina wazimu??yule ni mtoto wa watu baba,,ana uwezo wa kuondoka na kuniacha nashangaa,,hujaona mifano??nafikiri mimi nina akili sana,,sifanyagi upumbavu,,mwanamke kama tunaishi ni heshima peke yake inatakiwa!!thats all,,

Ha ha ha haaaa Watu wanaigiza hapa kumbe ikifika usiku munasubiri alale halafu ukaguzi wote wa sms, dialed calls na Received calls unaanza!
 
not physical rope bali saikological rope, mdatishe .
wewe unazungumzia kumchunga mkeo phyisically

Sory Mertina nadhani hukunielewa tu, nilikuwa nakusudia kufunga njia zote ambazo adui yako anaweza kuzitumia kuvamia kambi yako. Hata hivyo njia za kuchunga ni nyingi mno, kumtosheleza inaweza kuwa mojawapo ikamfanya asiangukie kwenye mikono mingine. Lakini tukubaliane tu siku hizi mmezidi mno malalamiko, kitu kidogo mnadhalilishwa halafu sisi tuko kimya tu hata mkitutukana aah! hatuna neno.
 
mimi ni mngoni na sikuwa na mpango wa kuchangia chochote ila umenifurahisha gazeti hapo uliposema siku hizi wamezidi kulalamika. Kitu kidogo wamedhalilishwa. Nakubaliana na wewe saana.Lakini sio wote kuna baadhi hata umfanyie jambo jema namna gani mwishowe atakulalamikia tu. Huku mtaani huwa tunawakwepa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom