Jirani kanitesa usiku kucha mweee!!!

Jirani kanitesa usiku kucha mweee!!!

cement

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
581
Reaction score
221
Duh wadau leo usiku nimepata mkasa wa ajabu na kuchekesha sana nipo safarini mtwara toka jumatatu nipo katika hotel moja nzuri sana tatizo ni kwamba madilisha ya hii hotel kati ya chumba kimoja na kingine yamepakana sana,kama kawaida yangu nikiwa kaunta napiga mtungi alikuja jamaa mfupi sana (mbilikimo)na mwanamke mkubwa kwelikweli,wakapewa chumba linachopakana na me!baada ya pombe si nikaenda kulala mweeee fupi yule kafungua madilisha yake si kaanzisha game huko yaani hata sielewi ilikuwaje nachoweza kusema ni yule mwanamke kutoa kelele nguvu usiku kucha akilia sana kwa moyowe kweli!!

Sijalala wadau hapa nipo zangu kwenye workshop macho yamevimba balaa nafikilia namna ya kwenda kuhama pale mbilikimo balaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
ingekuwa tent je?
Huwa linayumba lote, kitu gani dirisha bana

acha uzembe . .
 
Labda mbilikimo alikuwa anajilia mtandao wake wa 0713!
 
ingekuwa tent je?
Huwa linayumba lote, kitu gani dirisha bana

acha uzembe . .
Hata hivyo mkuu Kongosho,huyu cement anaonekana ni mbeya sana,kwa nini hashindwe kulala kwa mambo yasiyomuhusu?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana! Mbilikimo katika mchezo ule ni wabishi sana hawakubali kushindwa utafikiri analipwa! Kha ha ha ha ha haaaaa!!!!
 
Halafu watu wafupi nasikia wamebarikiwa sasa wakienda pemba(0713) si ndo balaa? hapo kilio lazima
 
Ile huitwa vita ya VIUNO na wala sio ya mwili...usicheze kabisa na watu walionyimwa urefu wa mwili, VINING'INIO vyao huwa kama shingo ya TYSON....
 
Duh wadau leo usiku nimepata mkasa wa ajabu na kuchekesha sana nipo safarini mtwara toka jumatatu nipo katika hotel moja nzuri sana tatizo ni kwamba madilisha ya hii hotel kati ya chumba kimoja na kingine yamepakana sana,kama kawaida yangu nikiwa kaunta napiga mtungi alikuja jamaa mfupi sana (mbilikimo)na mwanamke mkubwa kwelikweli,wakapewa chumba linachopakana na me!baada ya pombe si nikaenda kulala mweeee fupi yule kafungua madilisha yake si kaanzisha game huko yaani hata sielewi ilikuwaje nachoweza kusema ni yule mwanamke kutoa kelele nguvu usiku kucha akilia sana kwa moyowe kweli!!

Sijalala wadau hapa nipo zangu kwenye workshop macho yamevimba balaa nafikilia namna ya kwenda kuhama pale mbilikimo balaaaaaaaaaaaa!!!!!

Mkuu kuna uwezekano 2kimo ndio alikua akioa hizo kelele......hahaha
 
Nahisi nazeeka sasa...manake baadhi ya nyuzi humu sizielewi kabisa..
Mfano kama huu hapa unauchangiaje sasa....lolz
 
cpati picha huyo mmama na mbilikimo maana nasikiaga dushelele zao ni moto wa kuotea mbali kwa jinsi zilivyo jazia kama miguu yao
 
Kufungua uzi hakukupelekei kuuelewa moja kwa moja in the first place na ndio maana kabla hatujachangia tunasoma post ya kwanza nzima na zinazofuata..then ukiona una cha kuchangia unachangia...ukiona maruweruwe basi ndo inakuwa kama mim nilivofanya....

Mie nadhani umeelewa ndio maana umeufungua!
 
hahahah kitu mbilikimo....hahahahahahahahahah, kumbe ndo wako hivooo eeeh??? bora nimelijua hili lol
 
pole kwa kuvimba macho cpatipicha hiyo dushelele yake ilivyo nene na fupi kama mguu wake huyo mmama cmpatii picha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom