Jirani kanitesa usiku kucha mweee!!!

Jirani kanitesa usiku kucha mweee!!!

kwi kwi kwi kwi! ule mchezo hauna mwenyewe wallahi, ikubahatika kumuona obama anavyonyong'onya, hutajua kama ni rais wa US! chezeiya mgegedo weye?
 
labda alikuwa anampiga kwanini hukwenda kumwokoa?
 
Sijalala wadau hapa nipo zangu kwenye workshop macho yamevimba balaa nafikilia namna ya kwenda kuhama pale mbilikimo balaaaaaaaaaaaa!!!!!

Hukwenda bafuni Mkuu katikati ya kelele hizo..?
 
Du pole sana mdau...Leo weka pamba masikioni kama huna chukua pillow weka kwa masikio funga na kamba lala.
550px-Prevent-Noise-Pollution-Step-2Bullet5.jpg
 
ingekuwa tent je?
Huwa linayumba lote, kitu gani dirisha bana

acha uzembe . .
Hahaa haa mbilikimo!!! Mungu amempa viungo vingine vifupi kampa mguu wa tatu mnene mrefu na nahisi anajua vizuri kuutumia:majani7:
 
Umeamua kutudanganya hapa? Haya bwana!
Ile huitwa vita ya VIUNO na wala sio ya mwili...usicheze kabisa na watu walionyimwa urefu wa mwili, VINING'INIO vyao huwa kama shingo ya TYSON....
 
Kaka lazima nishindwa kulala maana hali haikuwa poa kabisa!
Mkuu cement ,hizo kelele zilikuwa za kimahaba au ni hizi kelele za kawaida?
 
Last edited by a moderator:
Mbilikimo kajaaliwa kibhigobhigo.
mwili wote umekimbilia kwenye ndunde
Duh wadau leo usiku nimepata mkasa wa ajabu na kuchekesha sana nipo safarini mtwara toka jumatatu nipo katika hotel moja nzuri sana tatizo ni kwamba madilisha ya hii hotel kati ya chumba kimoja na kingine yamepakana sana,kama kawaida yangu nikiwa kaunta napiga mtungi alikuja jamaa mfupi sana (mbilikimo)na mwanamke mkubwa kwelikweli,wakapewa chumba linachopakana na me!baada ya pombe si nikaenda kulala mweeee fupi yule kafungua madilisha yake si kaanzisha game huko yaani hata sielewi ilikuwaje nachoweza kusema ni yule mwanamke kutoa kelele nguvu usiku kucha akilia sana kwa moyowe kweli!!

Sijalala wadau hapa nipo zangu kwenye workshop macho yamevimba balaa nafikilia namna ya kwenda kuhama pale mbilikimo balaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Kaka lazima nishindwa kulala maana hali haikuwa poa kabisa!

katika harakati zako za kujinusuru, ulipiga vingapi? au walisahau kuweka sabuni maliwatoni? manake hizo gesti za huko kusini! mwee!
 
kwi kwi kwi kwi! ule mchezo hauna mwenyewe wallahi, ikubahatika kumuona obama anavyonyong'onya, hutajua kama ni rais wa US! chezeiya mgegedo weye?
dada umeniona wapi na my wife michelle obama wa bongo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom