Jirani huyu kiboko

sio poa kabisa ni fahari tu mtaan nina wake wa2 lakin matunzo zero
 
ungempa tu hiyo mia tano ungejuta. wachawi ni wajanja sana kun auchawi wa shilingi ukishampa hiyo hela anafunga uchumi wako unakuwa ni mtu wa maisha yanayoendana na jero jero
Na hii hasa ni kwa wale wanaoamini hayo... wasioamini mauzauza wala hawasumbuliwi.
 
Akiomba kiberiti, unamuwekea njiti moja tu...

Akiomba sukari, unampa kijiko kimoja tu kile kidogo...

Akiomba mkaa, unampa kile kimkaa kimoja tu...

Yaani wewe kuwa kauzu, unampa kipimo kidogo uwezavyo...
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Akiomba kiberiti, unamuwekea njiti moja tu...

Akiomba sukari, unampa kijiko kimoja tu kile kidogo...

Akiomba mkaa, unampa kile kimkaa kimoja tu...

Yaani wewe kuwa kauzu, unampa kipimo kidogo uwezavyo...
umetisha
 
[emoji848][emoji848]hauamini kama uchawi upo??
Naweza kusema wanaofanya uchawi wapo ila kwamba uko applicable hapo ndipo napatilia shaka... maana uchawi hauwezi kuwa ni kuharibu tu tungeuona na wa kujenga.
 
hamnaga mchaw anayejenga mzee wewe fuatilia labda wachawi wa mbele ila bongo ni wazee wa kuharibu tu ndiyo furaha yao
 
Sasa mtu ana uwezo kukuharibia alafu ati hana uwezo wa kununua hata chumvi... useless technology.

Hii ni fursa ya kujiajiri.
 
Ukali Unatakiwa, asikuzoee! Vingine mnyime tu hats kama unavyo ndani! Sio kila anachoomba Unampa!
 
Sasa mtu ana uwezo kukuharibia alafu ati hana uwezo wa kununua hata chumvi... useless technology.

Hii ni fursa ya kujiajiri.
ndiyo ushangae sasa wewe umeshawahi ona mganga aliyeendelea
 
anaetumwa ni mtoto wa kike au wakiume? kama wakike go back to square 1 fanya analysis vizuri kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…