Jirani ananiamsha usiku

PRECIOUSDOE

Senior Member
Feb 3, 2009
114
12
Jirani yangu ambaye anaishi gorofa moja juu yangu kila wakati akifanya mapenzi huwa ananiamsha kwa sababu kitanda chake kina piga kelele sana.Tena huwa ni katkati ya usiku kuanzia 1am to 3am.Hii ina affect usingizi na kupumzika kwangu kiasi nina uchovu the next day.Ninaweza kumu approach kivipi nimu advice anunue kitanda ambacho hakina kelele.Kwa sababu nikisha amka hadi wamlize starehe zao ndiyo mimi huweza kurudi usingizi.
 
Na wewe tafuta kitanda kibovu wakianza tu kuduu na wewe unaanza kukitingisha kitanda chako kibovu.
Kelele za kitanda chako zitawakera hata watashindwa kunjunji na wewe utalala unono
 
@bujibuji - wee wacha utanii :) saasa hivi nina yawn kama mtu hajalaa siku nyingi
 
Pole Preciousdoe. Sasa tufanyeje? nakushauri umwambie tu atakusikiliza bila shaka
 
Umejuaje wanakua wanafanya mapenzi....???:peep:
:focus: ..... mpongeze siku moja...mwambie unapenda kitanda chake kinavyotoa mlio murua!
 
Tetesi!? Huna uhakika Kama wanakuamsha au!!

Unaweza kumwambia jirani wa jinsia moja na wewe kuwa kitanda chao kinakukwaza...... Nafikiri atakuelewa
 
@bujibuji - wee wacha utanii :) saasa hivi nina yawn kama mtu hajalaa siku nyingi

Hehehehe dah mm nilijua na ww mzuka unakupanda kumbe ni kelele tu za kwichikwichi,
Wakianza ww fungulia radio endelea kula music taratiiiiiiiiibu laini laini.
 
na wewe kama unaishi na mke badilisha ratiba wakianza kuchidana na nyie mnaanza inakuwa ngoma droo au vipi nunua laini mpya ukisikia wanasumbua tu unawabeep ili kuwakata stimu
 
na wewe kama unaishi na mke badilisha ratiba wakianza kuchidana na nyie mnaanza inakuwa ngoma droo au vipi nunua laini mpya ukisikia wanasumbua tu unawabeep ili kuwakata stimu

Halafu ngoma ya kupokezana mbaya sana. Maana huyu anafika kileleni mihemo ka treni we ndo kwanza umetoka kuegesha mara unashangaa kitu kinadai. Unweza kukojoa hewa.
Mshauri ahamishie godoro chini, kma hana hela ya kitanda ila kama ni mihemo ndo starehe yenyewe!
 
Tetesi!? Huna uhakika Kama wanakuamsha au!!

Unaweza kumwambia jirani wa jinsia moja na wewe kuwa kitanda chao kinakukwaza...... Nafikiri atakuelewa

Jirani ni mwanamume single - huwa anawaleta wasichana kutoka club kulala nao usually wednesdays,sundays and fridays. Weekend hakuna shida lakini sunday na wednesday ninahitajika kuamka mapema the next day tena oflate imekuwa almost daily jameni.Mimi ninaogopa kuumu approach kwa sababu hii.Naskia shy manake sasa vipi nitaanza story hii tena nikimtuma mwingine itakuwa nimepeleka mambo yake nje.
 
Kama unaogopa face to face andika kikaratasi penyeza chini ya mlango usiku akirudi na demu wanapata ujumbe kabla hawajaanza majamboz!! :scared:
 
Kama unaogopa face to face andika kikaratasi penyeza chini ya mlango usiku akirudi na demu wanapata ujumbe kabla hawajaanza majamboz!! :scared:

hommie hii imetulia pia

bado uko gest usalule?
 
hehehehehe
ingia kwenye gemu naye siku moja kisha mwambie kitanda kina kelele halafu katisha gemu. atapata somo
 
Back
Top Bottom