Jirani ananiamsha usiku

:bowl: polendugu, ukiona uzalendo unakushinda we mpandie huko juu umpe ukweli kuwa ana kusumbua na kitanda chake, anza akiwa peke yke na asipoelekea kuelewa basi mwambie siku kaleta dem wake!:tape:
 
Kama unaogopa face to face andika kikaratasi penyeza chini ya mlango usiku akirudi na demu wanapata ujumbe kabla hawajaanza majamboz!! :scared:

Hii ya kikaratasi safi kabisa. Tulipokuwa tunasoma chuo kimoja walikuja wazungu wanafanya utafiti fulani. Wazungu wale walikuwa hawaogi na wakiingia cafeteria ilikuwa balaa. Tukaamua kuwaandikia kikaratasi kwamba wakienda cafeteria lazima wawe wasafi.

Tangu siku ile walikuwa wanakuja wasafi.

Kwa hivyo ningekushauri ufuate ushauri huu.
 
Hehehehe dah mm nilijua na ww mzuka unakupanda kumbe ni kelele tu za kwichikwichi,
Wakianza ww fungulia radio endelea kula music taratiiiiiiiiibu laini laini.

mzuka huo. Hakuna cha kelele wala nini. Si ajabu huwa anasubiria hiyo time ifike kila siku na akiikosa usingizi unaruka..
 
Jirani yangu ambaye anaishi gorofa moja juu yangu kila wakati akifanya mapenzi huwa ananiamsha kwa sababu kitanda chake kina piga kelele sana.Tena huwa ni katkati ya usiku kuanzia 1am to 3am.Hii ina affect usingizi na kupumzika kwangu kiasi nina uchovu the next day.Ninaweza kumu approach kivipi nimu advice anunue kitanda ambacho hakina kelele.Kwa sababu nikisha amka hadi wamlize starehe zao ndiyo mimi huweza kurudi usingizi.

I think hiyo huwa inakuathiri zaidi kisaikolojia kuliko kivingine ndiyo maana usingizi hauji mpaka waache libeneke.You what,huwa unaanza kupiga picha jinsi wanvyobinuana na mambo mengine kama hayo afu wewe upo peke yako!Zingekuwa kelele za magari wala zisingekupotezea usingizi wako.Ushauri:Mfuate umweleze ukweli jinsi unavyoathirika kisaikolojia usiku mabapo inasababisha hata kesho yake uamke mchovu then umpe ushauri wa kununua kitanda kipya ambacho ni imara au wakikarabati hicho walichonacho!Wakishindwa hayo yote wawe wanashusha godoro chini au wabadilishe muda iwe mapema kidogo wakati ambapo hapajatulia sana ile zile sound waves wanazoproduce zisiwe zinafika mbali.
 
Hapo ngoma draw sababu ina maana hata yeye yeye na mwenzake wanaopteza nguvu usiku kwa kufanya mapenzi ina affect usingizi na kupumzika kwao kiasi pia wanakuwa na uchovu the next day.kwa hiyo pole yenu sio wewe tu hata wao. sasa basi cha kufanya


  • mshauri/Muulize kama amewai kuona raha ya kufanya mapenzi godoro likiwa chini . Kama una guts muulize uso kwa uso kama huna muachie kimemo. mwambie godoro la 6x6 kikiwa chini linakuwa 8x8. Atakuwa kaupata ujumbe na wewe utapumgukiwa na kero.

  • Au kila siku akiwa hana match au kabla ya yeye kuanza "match " na wewe fanya vituko vya kupiga kelele na mayowe ya kimahaba kwa nguvu. "Assssshhhh my jumaaaa hapo hapoooo Mpenthii. I hate youuuu so much". Akija kukuuliza mwambie ni hesabu za mlinganyo x=y
 
hahahah!!!!!
unajua nini?wakianza kuchunguliana tu we an za kuimba mapambio yani piga mahaleluyuuuuuuuuuuuuya ya kufa mtu theni unakemea mapepo tena pepo la ngono ndop unaruka ruka mpk kwenye ngazi km unaenda juu kwao vile nakwambia uyo kijana mwenyewe ataona eennhh i sasa kali ngoja tu nihame venue!!!!!!!!!!!!
nunua ata cd za awa wahubiri wetu then wakianza wewe weka full blast......
pole
 
Anzisha mahusiano ya kikubwa naye, hataleta tena wa-club utalala murua!
 
hehehehehe
ingia kwenye gemu naye siku moja kisha mwambie kitanda kina kelele halafu katisha gemu. atapata somo

Kulingana na makelele ninayo ya sikia sioni ni kama game yake iko juu - haitamanishi hataa!
 
Tetesi!? Huna uhakika Kama wanakuamsha au!!

Unaweza kumwambia jirani wa jinsia moja na wewe kuwa kitanda chao kinakukwaza...... Nafikiri atakuelewa

Hapana, mwambie yule wa jinsia tofauti na wewe ndiye atakuelewa zaidi!
 
Wewe unatamani hizo kelele ungepiga wewe..
Unashindwa sema ukwei tu hapa....
Tafuta mtu wa kukupigisha kelele na wewe...............
 
Back
Top Bottom