Jirani aamka na kujikuta yuko juu ya bati

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
419
Jamani ama kweli wachawi ni balaa, jirani yangu jana usiku alilala ndani ya nyumba yake lakini leo alfajiri amejikuta kalala juu ya bati la nyumba,tena akiwa na mashuka yake.

Ikabidi tufanye jitihada za kumshusha chini,lakini jamaa anaonekana ana akili zake timamu kabisa kwasasa jamaa amebakia home akitafakari ilikuaje ameamkia juu ya bati?
 
jamani ama kweli wachawi ni balaa, jirani yangu jana usiku alilala ndani ya nyumba yake lakini leo alfajiri amejikuta kalala juu ya bati la nyumba,tena akiwa na mashuka yake. ikabidi tufanyi jitihada za kumshusha chini,lakini jamaa anaonekana ana akili zake timamu kabisa kwa sasa jamaa amebakia home akitafakari ilikuaje ameamkia juu ya bati?

hilo kabati lina urefu gani hadi mumsaidie kushuka??
 
jamani ama kweli wachawi ni balaa, jirani yangu jana usiku alilala ndani ya nyumba yake lakini leo alfajiri amejikuta kalala juu ya bati la nyumba,tena akiwa na mashuka yake. ikabidi tufanyi jitihada za kumshusha chini,lakini jamaa anaonekana ana akili zake timamu kabisa kwa sasa jamaa amebakia home akitafakari ilikuaje ameamkia juu ya bati?

Imetokea wapi hii? Manake Jana nilifanya majaribio katika maeneo sita tofauti nikijaribu zana mpya, nne zilifanya kazi mbili ziligoma.... Nipo Kati ya msata na wami
 
ha ha ha ha ha ha ha....mkuu umekuwa wa kwanza kunichekesha jumatatu hii!!!!
 
jamani ama kweli wachawi ni balaa, jirani yangu jana usiku alilala ndani ya nyumba yake lakini leo alfajiri amejikuta kalala juu ya bati la nyumba,tena akiwa na mashuka yake. ikabidi tufanyi jitihada za kumshusha chini,lakini jamaa anaonekana ana akili zake timamu kabisa kwa sasa jamaa amebakia home akitafakari ilikuaje ameamkia juu ya bati?
We jamaa kwa uongoo kesho unakuja na movie gani
 
Back
Top Bottom