Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,168
Mimi na mlaumu kwanza mtoa maada. Je kama alikutana na tapel ambaye alikuwa ata sio mhusika. Hawa watajwa hapo juu wote ni waajiriwa wa BICO?. Na kwanin yy apitie by- pass? Ukishajua majibu ya haya ukweli utafahamikaUmesoma kuhusu invoice ya BICO iliyotolewa?
Nimerudia tena kusoma sijaona pahala BICO imelaumiwa nilichokiona ni watendaji wanalaumiwa kutumia muda, vifaa, na jina la BICO kiwiziwizi kujinufaisha wao binafsi.
Mbona husemi hilo tatizo?ukilala bila ya net mbu watakutafuna na baadaye utapata malaria sasa hapa malaria ndo tatizo,weka tatizo la ww kutengenezewa machine uliyoitaka kwa bei uliyoridhia baada ya kukubaliana kwa kutokupewa risiti tu,akili kidogo tu hapa.
Mimi na mlaumu kwanza mtoa maada. Je kama alikutana na tapel ambaye alikuwa ata sio mhusika. Hawa watajwa hapo juu wote ni waajiriwa wa BICO?. Na kwanin yy apitie by- pass? Ukishajua majibu ya haya ukweli utafahamika
Huyo aliyetaka hiyo machine hafikirii kwa kutumia kichwa chenye ubongo.
Kwa kifupi hapo chuo kunampaka wanafunzi matapeli hii aimanishi kuwa chuoni hakuna ulinzi. Kilamtu anakuja na maswahibu yake toka kwao. So usilaumu saanaMleta mada kaweka majina na namba za simu wazi kabisa, sasa kama hao matapeli ni wa ndani ya chuo kikuu au nje ya chuo kikuu na wanaweza kufanya utapeli ndani ya chuo kikuu basi kuna mapungufu makubwa ya kiutendaji hapo chuo kikuu.
Unamlaumu mleta mada ambae kakataa kufanya biashara ambayo kastuka kuwa si ya halali na kaweka wazi kila kitu?
Kwa watu kama wewe, Tanzania ina safari ndefu sana ya kujikwamua kifikra.
Nyie mabingwa wa kuitetea udsm utadhani ni nyie pekee mmesoma pale. Udsm kuna matatizo saana. Utawala, urasimu na ufundishaji wa kizamani kwa vitabu na teknolojia ya siku nyng. Kama wewe exposure yako ni udsm peke yake, utazidi kushangilia.
Hapa yameainishwa madudu ya hapo chuoni na tunatumai hii imekuwa chachu ya wengine kufunguka.Kwa kifupi hapo chuo kunampaka wanafunzi matapeli hii aimanishi kuwa chuoni hakuna ulinzi. Kilamtu anakuja na maswahibu yake toka kwao. So usilaumu saana
"If you want to hide something from Blacks, put it in writings." Huyu mzungu kumbe alikuwa genuine hivi...lohIna maelezo mengi nimeshindws kumalizia.naomba ambaye anaweza kunieleza kifupi tu
Kwa ID yako huwezi kuwa na wazo la kujengaUnakomaa na risiti ili iweje? kwamba ww ni mtakatifu sana?? au unataka umaarufu wa kitoto humu?
Mimi nilijua umetapeliwa ela zako kumbe Mashine tayari, ila unataka haki?
Kwa taarifa yako hakuna haki duniani, hapa ni unyama unyama tu.
Msilete hoja za kuchafuana humu
uko sawa,mimi nimrsoma kwa makini(reading between the lines)Inaonesha hujaisoma vizuri thread.
Tumepatana ofisini na tumelipa ofisini, ni wao waliopiga simu tukaichukulie mtaani tukakataa.
Ulitaka taratibu za hapo atueleze nani kama si hao wahusika? Ambao ukinisoma vizuri utaona kuwa hao hao ni matapeli na wabadhirifu waliotengeneza hizo mashine kwa kutumia vifaa vya chuo, muda wa chuo, na mpaka wametoa Invoice za chuo (BICO) ambazo kwa jinsi inavyoonekana wanazo zao ambazo hazifiki kwenye uongozi wa chuo (BICO) na wameweza kuzitoa mashine nje ya chuo na kutaka kutupachika nazo kama vile sisi tumeshirikiana nao kuiba.
Kuchukua namba Sinza au kwengine popote si shida, hiyo ilikuwa ni kujulishwa tu, au wewe ulizaliwa unajua kila kitu?
Kama umesoma mada Na hiki ndo ulichoelewa, naanza kuwahurumia walimu waliokuwa wanakufundisha.Kwanza swala la kujiuliza si yalikuwa ni makubaliano yao wenyewe. Mtu tena unaambiwa utafanyiwa kazi bila ya risit unakubali afu mwisho wa siku unalailumu BIco. Kwan BICO ndo waliomwambie asipewe risit. Mambo mengine hayahitaji uwena degree kutambua. Hili ata wahindi wa kariakoo wanalijua fika mkuu
Ha ha kweli mawazo huru. Kwan ata miapia nakuhurumia unaepiga by-pass afu ukilizwa unalalamika. Hivi walimu ndo huwawandisha watukutofata utaratibu. Huyo mwalimu akikufundisha hivo atakuwa taira na punguwanKama umesoma mada Na hiki ndo ulichoelewa, naanza kuwahurumia walimu waliokuwa wanakufundisha.
Unakomaa na risiti ili iweje? kwamba ww ni mtakatifu sana?? au unataka umaarufu wa kitoto humu?
Mimi nilijua umetapeliwa ela zako kumbe Mashine tayari, ila unataka haki?
Kwa taarifa yako hakuna haki duniani, hapa ni unyama unyama tu.
Msilete hoja za kuchafuana humu[/QUOTE
muhimu uache utapeli si kutokwa povu.
Hii biashara iliharibikia Loliondo Sinza.Badala ya kuwaelekeza jinsi ya kufika ofisini chuo mliekezwa mkutane Loliondo Sinza.....Hapo biashara ilianza kwa style ya dilidili, Mr Wandelanga alitaka kutumia fursa.Ila alichokosea ni kuichelewesha mashine ila angetengeneza ndani ya muda hii thread hata isingekuja hapa ingeisha kidilidili
Inasikitisha sana.,huu ni uhuni mtupu...sidhani kama Prof.Mkandala
atakuwa anayajua haya..