hizi habari sizana kama ni za kweli, tunaendelea kufanya mawasiliano aga khan hosp tutawajulisha, ila issue ya madaktari kutoka paskstani kweli wapo, na anayewapigia debe kuja ni CEO ambaye naye ni mpakistan, pia kuna wafanyakazi wa kawaida kutoka huko huko pakstani lakini qualification zao zinatia mashaka kama kweli ndiyo hizo