myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
kwa wakati ule vijana walitoka jkt walitumika kupeleka ujumbe na kujua jins gani watu wanaupokea vipi mustakbali wa uongozi, pia matakwa ya serikali yanapokelewaje, kwa wakati ule mwenge ilikuwa njia rahisi ya mawasiliana kati ya ujumbe wa serikali na wananchi hasa vijijini,lengo lilikuwa zuri sana. ila kwa sasa dunia imebadilika, nadhani mwenge uwamulike viongozi nao badala ya wananchitumetoka mbali aisee..
Jipu linalokaribia kuwa kansa. Nipeni faida walau 3 za kuwa na mwenge jamani
Asante kwa maelezo yako mujarabu mkuukwa wakati ule vijana walitoka jkt walitumika kupeleka ujumbe na kujua jins gani watu wanaupokea vipi mustakbali wa uongozi, pia matakwa ya serikali yanapokelewaje, kwa wakati ule mwenge ilikuwa njia rahisi ya mawasiliana kati ya ujumbe wa serikali na wananchi hasa vijijini,lengo lilikuwa zuri sana. ila kwa sasa dunia imebadilika, nadhani mwenge uwamulike viongozi nao badala ya wananchi
Mkuu nipe link kama hutajaliKwani hamkusoma ile thread ya chanzo cha mwenge? ni mambo ya kishirikina inasemekana
unapowaka humulika wahalifu,...
ni wakati sasa umulike viongoziMwenge huu huu uliowaka kwa miaka 10 ya utawala wa 'Professor'?????
Huu mwenge ufutiliwe mbali tu kwa sababu:- 1.hizo kauli mbiu tunapaswa tuzifuate wote ajabu hao viongozi ndo wakwanza kuziharibu 2.Miradi mingi iliyoanzishwa na serikali sio endelevu 3.Tanzania hakuna uhuru,kama upo sauti ya umma ingesikilizwa Zanzibar,wala mshikimano haupo na kama tunautaka basi tushirikiane kuzitumia mali za JAKAYA walizozipata kwa jasho letu ili tuwe sawa,kama ujamaa usemavyo.1.Kuhamasisha jamii juu ya kauli mbiu mbalimbali za serikali.
2.Hutumika kufungua miradi.
3.Ni ishara ya uhuru,umoja mshikamano wa taifa letu.
kuna gest flani ipo kijijini kwetu ilifunguliwa na mwenge, buku tano usiku mmoja sema mwenye nayo ni kada wa kile chama chaoUnapita kuweka mawe ya msingi hata ukiwa na nyumba yako unataka iwekwe jiwe la msingi waalike jamaa
huko mikoani mpaka guest house
kuna gest flani ipo kijijini kwetu ilifunguliwa na mwenge, buku tano usiku mmoja sema mwenye nayo ni kada wa kile chama chao
hili jibu blaza asipolitumbua ntamuona hayuko serious na anachokifanyaMkuu jose mjasiriamali nenda Mkoa wa Simiyu huko utazikuta nyingi tuu zimefunguliwa na kiongozi wa mbio za mwenge
Mkuu upo daah siku nyingi sana
Mi mzima wa afya aisee mkeo miss chagga hajambo?