Jipatie shamba bagamoyo kabla hujachelewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jipatie shamba bagamoyo kabla hujachelewa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kurunzi, Jul 16, 2011.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Je ungependa kupata shamba Bagamoyo-Kidomole kwenye barabara inayojegwa kuelekea Msata? Ikiwa jibu ni ndiyo hujachelewa na bei ni poa kabisa Tsh 1.2m per heka, simply just call me 0716099463
   
 2. i411

  i411 JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  wale kina rz1 hawajamaliza huko nasikia wanakomba kila kona sijui wanawanunulia kina nani!
   
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Yamepimwa mkuu?
   
 4. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Unapata hati ya kijiji itakayokuwezesha kwenda kupima
   
 5. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  si yanauzwa laki nne?? hiyo bei umetoa google?
   
 6. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  huwezi kupata kwa bei hiyo labda mbali na barabara au mbele ya kidomole
   
 7. V

  Vonix JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Tujuze vizuri mkuu kwanza ni kilometa ngapi toka bagamoyo.
   
 8. M

  Malila JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa kaya si amewaambia wanabagamoyo wasiuze mashamba/mapori, au nilisikia vibaya?
   
 9. JF Marketer

  JF Marketer Member

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 3, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Kwa laki 4 anapata heka maeneo ya Lusako-fukayosi, Km 37 kutoka B'moyo mjini. Akihitaji awasiliane na Mkulima/mhusika kupitia 0689821491
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,273
  Trophy Points: 280
  Hata mi nlipata heka kwa laki 3 maeneo ya fukayosi,
  tena namkumbuka mpaka mjumbe alieniuzia kwa Jina la BABA UBWA,
  We hiyo 1mil umeitoa wapi?
  Wacha utapeli wewe!
   
 11. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  madalali washaingia humu
   
Loading...