Jipatie ramani bora ya banda la kuku

Jipatie ramani bora ya banda la kuku

Hamna kitu kinaitwa LITA...mimi napafahamu kama LITI Tengeru...au hiki ni kipya kinaitwa LITA Tengeru
Ndio jina jipya.. last walikuwa wanaitwa LITI... Now ni LITA - it means ( Livestock Training Agent)..
I think you understand
 
Maelezo bila picha ni bure.

Weka picha tukivutiwa ndio tuje.
 
Nawashukuru sana walimu wangu wa shule ya msingi haya yote walitufundisha tukiwa wadogo ila tuliona siyo ila sasa nayakumbuka
 
Utuwekee sample ya ramani au picha ya mabanda yaliyojengwa kwa ramani na ushauri wako. Jifunze kwa wanaochora ramani za nyumba otherwise hutopata ushirikano kwa kuwa post yako haina ukamilifu
 
Back
Top Bottom