Jipatie ramani bora ya banda la kuku

Jipatie ramani bora ya banda la kuku

Tafadhali jiheshim,na ujue namna ya kuzungumza,kama hutaki maendeleo kwa watu basi kaa kimnya,aisee umenikwaza sana usidharau kazi ya mtu.Na kwa taarifa mimi nishakula mamilioni ya pesa kutoka na kazi yangu hii.

Na jamii kiujumla wananufaika na kazi yangu.namshukuru sana mwalim wangu kwa kunifundisha elim ya kutengeneza ramani za nyumba za kuku alizojifunza kukota nchini Uholanzi(Netherland).ndugu zangu wa Tanzania tuamke tupambane tusonge mbele tusikwaze na mtu kama huyu nilie mjibu tutatoboa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kijana komaa. Watu kama hawa wapo duniani. Ni kuwapuuza.
 
Kwa majina naitwa Kennedy Shirima,ni mhitim wa elim ya mifugo Chuo cha Lita Tengeru Arusha,napenda kuwa taarifu wafugaji wa kuku wakubwa na wadogo kwamba uzalishaji utokanao na kuku unazingatia jinsi ya banda lako ulivyo lijenga pia na chakula unachowapatia kuku wako kisha kupata mavuno bora.Basi mimi najishugulisha na maswala hayo ya utengenezaji ramani,kwa atakaye hitaji ramani ya banda bora basi mimi nitamtengenezea kulinga na hidadi ya kuku ambao atakuanao kisha nitamtumia kwa njia ya mtandao (wa mbali) kwa wale wa karibu napatikana mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ila sasa nipo field mkoa wa Tanga.Pia kwa upande wa chakula nitampatia na formula ya kuchanganyia chakula bora.
Naomba unitafute ilituweze kusaidiana

Bei ya Ramani;50,000-100000Tzsh
Bei ya formula ya chakula;5000Tzsh
MAWASILIANO
Phone;0762283253 pia no hii inapatakina WhatsApp

Email; kennesyshirima09@gmail.com
Asante sana na karibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Well umenigusa dunia ya sasa hivi elimu tunayoipata tujiajiri wengine hapa hasa watani zako watafikiri unataka kupiga dili ila umetoa wazo zuri sana k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2498453ddc02e885b4a830214fb69438.jpg
Mkuu tunangojea sample ya hizo ramani aise!!!

Mkuu tunangojea sample ya hizo ramani aise!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Banda letu hapo juu linauwezo wa kuchukua takribani kuku mia nne hamsini (450).Naombeni msamaha kwa kuchelewa kuweka sample hii, kutokana na sabab zilizo nje ya uwezo wangu.Na banda letu linajulikana kwa jina la House with open sides,ni banda zuri sana.
Shukrani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungeweka sample ya hizo ramani au picha ya mabanda

Sent from my TV
 
Nishaweka sample ya ramani angalia vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry kijana ila sio wote wanaoweza kusoma na kuielewa ramani, huo ni mchoro tu ambao mtu yoyote anaweza kuupata na hauwezi kumvutia mtu machoni na kuamini uzuri wa kazi zako, ungeweka picha ya banda ambalo umelifanyia kazi ingekuwa vizuri zaidi na ingewavutia wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry kijana ila sio wote wanaoweza kusoma na kuielewa ramani, huo ni mchoro tu ambao mtu yoyote anaweza kuupata na hauwezi kumvutia mtu machoni na kuamini uzuri wa kazi zako, ungeweka picha ya banda ambalo umelifanyia kazi ingekuwa vizuri zaidi na ingewavutia wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
OK,asante nitaziweka rafiki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu mi ningependa uweke estimates za gharama za kulijenga kwa kuku 200 - 500. Ni kuku wa kienyeji na wafugwe kwa mfumo wa nusu huria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua nikiasi gan cha kuku ambao utawafuga kama ni 200 au 500 na ni wa nyama au mayai.
Pia upande wa estimation,naomba kujua


Samahani mkuu mi ningependa uweke estimates za gharama za kulijenga kwa kuku 200 - 500. Ni kuku wa kienyeji na wafugwe kwa mfumo wa nusu huria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua nikiasi gan cha kuku ambao utawafuga kama ni 200 au 500 na ni wa nyama au mayai.
Pia upande wa estimation,naomba kujua bei ya bidhaa hizi hapo ulipo

-Bati
-wire mesh 1m
-misumari 1kg
-tofali 1(kuchoma/block)
-cement 1bag
-mchanga
-Kokoto
-paki
Asante sana,karibu!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom