Jipatie ramani bora ya banda la kuku

Jipatie ramani bora ya banda la kuku

Well

Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
73
Reaction score
16
Kwa majina naitwa Kennedy Charles ni mtaalam wa wanyama hasa kuku,napenda kuwa taarifu wafugaji wa kuku wakubwa na wadogo kwamba uzalishaji utokanao na kuku unazingatia jinsi ya banda lako ulivyo lijenga pia na chakula unachowapatia kuku wako kisha kupata mavuno bora.Basi mimi najishugulisha na maswala hayo ya utengenezaji ramani,kwa atakaye hitaji ramani ya banda bora basi mimi nitamtengenezea kulinga na idadi ya kuku ambao atakuanao kisha nitamtumia kwa njia ya mtandao.Pia kwa upande wa chakula nitampatia na formula ya kuchanganyia chakula bora kulingana na aina ya kuku afugao.
Kwa maelezo zaidi nitafute, KARIBU!

Bei ya Ramani;50,000-100000Tzsh
Bei ya formula ya chakula;5000Tzsh
MAWASILIANO
Phone;0762283253 pia no hii inapatakina WhatsApp

Email; kennesyshirima09@gmail.com
Asante sana na karibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1530033
 
Me nahitaji kujiunga na mafunzo ya mifugo.. natapaje nafasi hapo LITA - Tengeru mkuu
 
Kwa majina naitwa Kennedy Shirima,ni mhitim wa elim ya mifugo Chuo cha Lita Tengeru Arusha,napenda kuwa taarifu wafugaji wa kuku wakubwa na wadogo kwamba uzalishaji utokanao na kuku unazingatia jinsi ya banda lako ulivyo lijenga pia na chakula unachowapatia kuku wako kisha kupata mavuno bora.Basi mimi najishugulisha na maswala hayo ya utengenezaji ramani,kwa atakaye hitaji ramani ya banda bora basi mimi nitamtengenezea kulinga na hidadi ya kuku ambao atakuanao kisha nitamtumia kwa njia ya mtandao (wa mbali) kwa wale wa karibu napatikana mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ila sasa nipo field mkoa wa Tanga.Pia kwa upande wa chakula nitampatia na formula ya kuchanganyia chakula bora.
Naomba unitafute ilituweze kusaidiana

Bei ya Ramani;50,000-100000Tzsh
Bei ya formula ya chakula;5000Tzsh
MAWASILIANO
Phone;0762283253 pia no hii inapatakina WhatsApp

Email; kennesyshirima09@gmail.com
Asante sana na karibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mrombo huwezi pata hata mia ....utarudi hapa kuniambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia website ya wizara ya kilimo na mifugo nadhani huko ndio maelezo ya namna ya kuomba nafasi.
Sawa master, niandikie kwanza hyo website.. msaada tafadhari mkuu
 
Kwa majina naitwa Kennedy Shirima,ni mhitim wa elim ya mifugo Chuo cha Lita Tengeru Arusha,napenda kuwa taarifu wafugaji wa kuku wakubwa na wadogo kwamba uzalishaji utokanao na kuku unazingatia jinsi ya banda lako ulivyo lijenga pia na chakula unachowapatia kuku wako kisha kupata mavuno bora.Basi mimi najishugulisha na maswala hayo ya utengenezaji ramani,kwa atakaye hitaji ramani ya banda bora basi mimi nitamtengenezea kulinga na hidadi ya kuku ambao atakuanao kisha nitamtumia kwa njia ya mtandao (wa mbali) kwa wale wa karibu napatikana mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ila sasa nipo field mkoa wa Tanga.Pia kwa upande wa chakula nitampatia na formula ya kuchanganyia chakula bora.
Naomba unitafute ilituweze kusaidiana

Bei ya Ramani;50,000-100000Tzsh
Bei ya formula ya chakula;5000Tzsh
MAWASILIANO
Phone;0762283253 pia no hii inapatakina WhatsApp

Email; kennesyshirima09@gmail.com
Asante sana na karibu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Je naweza pata ramani y banda la mbuzi wapatao 15-20.??
 
Wewe mrombo huwezi pata hata mia ....utarudi hapa kuniambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali jiheshim,na ujue namna ya kuzungumza,kama hutaki maendeleo kwa watu basi kaa kimnya,aisee umenikwaza sana usidharau kazi ya mtu.Na kwa taarifa mimi nishakula mamilioni ya pesa kutoka na kazi yangu hii.

Na jamii kiujumla wananufaika na kazi yangu.namshukuru sana mwalim wangu kwa kunifundisha elim ya kutengeneza ramani za nyumba za kuku alizojifunza kukota nchini Uholanzi(Netherland).ndugu zangu wa Tanzania tuamke tupambane tusonge mbele tusikwaze na mtu kama huyu nilie mjibu tutatoboa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ramani nayo ni lazima iwasilishwe kwenye mamlaka za miji au mikoa kuombea building permit? Embu tujuze kidogo?
 
Ili kupunguza mapovu ya wadau ungetuma hata sample watu waone au mkuu unaogopa ndio wadau tutaondoka na sample hiyo hiyo?
Biashara matangazo ujue so turidhishe kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom