Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

msaada, wa hii bettery ya Xiaomi lte note 2
299ef707e4540ae4d9dc6d0c62955201.jpg
 
mkuu hii kitu mpaka nikutumie pesa kwanza au unaagiza kisha mwisho wa mwezi nikutumie yote, msaaada mkuu
 
Kwa wale mafundi wa madish tu,naomba namba yako ya simu hapa yenye akaunti ya whatsapp au PM nikuunge kwenye group kwa lengo la kubadilishana ujuzi tu
 
hizi decoder zinatofauti gani na visimbusi vya dstv ,azam etc,kwa maana naona kwa maelezo yako vinalipiwa.
 
mkuu Mwl.RCT hii makitu inapatikana akaunti yake? ninayo speed hd s1 lakini haina akaunti mwanzo ilikuwa inafungua free VOD na free iptv lakini sasa haifungui tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom