Tafuta kwenye hizi sitemsaada, wa hii bettery ya Xiaomi lte note 2
Kwa sasa aina zote za decoder zinakuja kw order maalum
AliExpress Mobile - Global Online Shopping for Apparel, Phones, Computers, Electronics, Fashion and moreTafuta kwenye hizi site
- ALIEXPRES. COM
- EBAY. COM
Kisha nipatie link yake
Na nitakupa ghalama ya kukufikishia
Kwa utaratibu kamili upo hapa: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
mwl embu jaribu kuangalia na hili maana naona linauwezo mkubwa zaidi nioe na bei, samahani kwa usumbufu
Taratibu za manunuzi zinakuhitaji ulipie kwanza.mkuu hii kitu mpaka nikutumie pesa kwanza au unaagiza kisha mwisho wa mwezi nikutumie yote, msaaada mkuu
Taratibu za manunuzi zinakuhitaji ulipie kwanza.
Soma posti namba moja hapa: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Hii huduma ya kulipia ilikuwa miaka hiyo, kwa sasa hakuna hii huduma.sijaelewa natakia kulipa 75000/= kila baada ya miezi mitatu
Free to Air...FTA napata discovery scinece....travel channel cuz mimi ni mpenz wa documentaryHii huduma ya kulipia ilikuwa miaka hiyo, kwa sasa hakuna hii huduma.
Unachoweza kufanya ni kununua FTA receiever na dish la FT6 au FT8 na ukapata fundi mzuri akakufungia FTA channel.
Zaidi kuhusu FTA channel soma hapa:
#1. African Satellite World and Sat Gear
#2. Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6