Jipatie: PD PROXY PREMIUM ACCOUNT

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,683
Reaction score
22,548
Update: 24 Dec. 2013
Offer ya X-Mas & Mwaka Mpya 2014:

  • Nunua Vocha za TunnelGuru/PD Proxy kwa tsh 6,500/- tu.
  • Upate UNLIMITED kwa siku 30 bure.
Nakutakia X-Mas njema. Mwisho wa offer hii ni Dec. 31 . KARIBU

Update: 1 Nov. 2013

  • Tumia hii link kudownload Pd Proxy ambayo taya.ri ina configuration
    Code:
    https://www.dropbox.com/s/tgp6wch2zsiyuu2/Unlimited%20Internet%20-%20MWL.RCT.zip
  • Fuata maelekezo kwa njia ya picha hapa
    Code:
    [URL="http://mwlrct.blogspot.ro/2013/10/kwa-watumiaji-wapya-wa-pd-proxy-vpn.html"]Jipatie: KWA WATUMIAJI WAPYA WA PD PROXY VPN - FUATA HIZI HATUA[/URL]


  • Kwa msaada zaidi piga/sms 0784 496 856. Karibu
Update: October 30, 2013

Update: October 29, 2013


  • ​Pd Proxy internet katika picha
Picha ya Kwanza

Picha ya Pili

Picha ya Tatu




  • Karibu kama unaswali kuhusiana na haya maelezo yangu.
UPdate: 27 Oct 2013
  • Kwa watumiaji wa android v4.x.x
  • TroidVPN ni yako, Download.
Update: 27 Oct 2013

  • Kwa watumiaji wa TunnelGuru Download latest version TG v2.5.0.0
  • Voucher za TunnelGuru zinauzwa Tsh 8,000/-
Update 13 Oct 2013


    • Vouchers za offer zimeisha

KWA MAHITAJI YA VOUCHERS ZA TUNNELGURU NA PD PROXY
Fuata hatua zifuatazo



  1. [*=left]Fanya malipo kwa mpesa namba 0768 924 841
    [*=left]Kisha nijulishe kwa kunitumia SMS ya MPesa uliyopokea kama uthibitisho
    [*=left]Nitakutumia Voucher yako bila kuchelewa kupitia namba iliyotumika hatua #2

Gharama ya Voucher





    • Voucher za TunnelGuru ni tsh 8,000/- tu {kwa mwezi}

    • Vouchers za PD Proxy ni tsh 8,000/-[SUP](New Price from 13 October)[/SUP]tu {kwa mwezi}

    • Kwa anayependa kuwa Reseller wa Vocha, nitakuuzia kwa tsh 70,000/- kwa kila vocha kumi (10)
Mjulishe na Rafiki yako




Karibu

Pia Tembelea hapa kwa masaada zaidi:Click TunnelGuru & PD Proxy VPN







-------------------------------------------------------------------------------------------------
Update 09 Oct 2013

Offer! TunnelGuru Vouchers & PD Proxy Vouchers for only 6500/- Each


TunnelGuru zipo voucher 50, kila moja inauzwa tsh 6,500 tu.


PD PRoxy Voucher pia zipo 50 na kila moja ni tsh 6,500 tu


Bei ya kawaida ya voucher itaendelea baada ya kwisha hizi voucher za offer. Karibuni



  • Kwa watumiaji wapya wa TunnelGuru Internet na PD Proxy Internet pata maelezo kwenye hii link
    Code:
    [URL="http://mwlrct.blogspot.com"]TunnelGuru & PD Proxy Internet[/URL]
Update 14 Sept 2013


  • Kwa watumiaji wa droidVPN wasiliana na mimi kama unaitaji ku_upgrade account yako.
  • Nipigie simu au tuma sms kwa namba zilizopo hapo chini.
Karibu


Update 7 Sept 2013

  • Pia waweza kunipata kwa kupiga namba 0784 496 856
  • Tazama hii picha kisha jiulize. Ikiwa siku moja ni 23GB Je kwa siku 30 zitakuwa ngapi? Karibu
Update 29 August 2013


    • Wadau wa PD Proxy bei ya Voucher kwa sasa ni 10,000/- kwa Mwezi , au 25,000/- kwa Miezi Mitatu (3)

    • Namba ya mawasiliano ni: 0768 924 841

    • Kuwa hulu kufanya mawasiliano 24/7



Karibu
================== End==================
Ofa ya Eid
§ Jipatie PD PROXY PREMIUM ACCOUNT ya mwezi mmoja
§ Kwa tsh 9,000/- tu.
§ Kama hujui nini cha kufanya download attachment kwa maelekezo zaidi
§ Mawasiliano 0768 924 841

Mwisho wa ofa hii ni Jumatatu [ 11-08-2013 ].

 

Attachments

hello ndugu. mahitaji mengine ni nini eg modem, aina ya pc?
 
Mkuu mi nataka ntumie ktk cm ya 3g vp inakuaje.nambie nkutafute upo wap nataka hyo huduma ya unltd
 
hello ndugu. mahitaji mengine ni nini eg modem, aina ya pc?

  • Modem yeyote universal waweza kutumia
  • Software ni kwa Windows XP, Vista ,7 & win 8
Kabla ya kulipia kama upo interested naweza kukupa trial for 30min.
Karibu, Mjulishe na Rafiki yako.
 
Mkuu mi nataka ntumie ktk cm ya 3g vp inakuaje.nambie nkutafute upo wap nataka hyo huduma ya unltd

  • Ukisema cm yako 3g ni too general, Ulipaswa kusema OS ya cm yako au model.
  • Kwa simu ambazo supported ni android OS kuna software yake. Siyo hii pd Proxy software
  • Hii PD Proxy ni kwa PC
Karibu
 
hello mtanzania.
so tukidownload hiyo software mambo yataenda yenyewe tukifuata maelekezo yake au kuna maujanja mengine ya kufanya? plz
 
Ni android bro naweza kupata hyo huduma.nambie ofs yako nije kwa maelezo zaidi
 
Ni android bro naweza kupata hyo huduma.nambie ofs yako nije kwa maelezo zaidi

  • Download Droidvpn toka hii link
  • Code:
    [url=http://droidvpn.com/download.php]Download DroidVPN - VPN for android phones and android tablets.[/url]
  • Au ingia google playa
  • Code:
    [URL]https://play.google.com/store/apps/details?id=com.aed.droidvpn[/URL]
 
hello mtanzania.
so tukidownload hiyo software mambo yataenda yenyewe tukifuata maelekezo yake au kuna maujanja mengine ya kufanya? plz
  • Download hiyo attachment ina maelekezo zaidi. Karibu
 
Nendeni pd proxy.com na download ni bure haihitaji kulipa chochote
  • Upo sahihi kabisa software waweza kuipata kwenye hiyo site tajwa,ila imekosa settings muhimu,haitaweza kufanya kazi.
  • Hivyo ni lazima upate hii software toka kwangu ambayo ipo tayari kwa matumizi
  • Na utaweza kupata mb100 kwa siku.
  • Kwa mtumiaji wa PC mb100 hazitoshi kitu.
  • kumbuka watu wanahitaji kudownload MOVIES, TV SERIES, kutazama online TV nk, Hapo ndipo linakuja hitaji la PREMIUM ACCOUNT kupata kitu UNLIMITED download/upload
Karibu mtanzania2013
 
  • Wadau wa pd, kuwa free 24/7 kunitafuta kwa hitaji lako la vocha. Tumia namba hii 0768 924 841


  • Karibu
 
Mwl.RCT vipi pd proxy inakubaliana na connectify? maana me ni mdau wa connectify dispach na niliona post ya jamaa kwamba inazingua. By the way natumia basi jingine, nataka nitest PD.
 
Last edited by a moderator:
Mwl.RCT vipi pd proxy inakubaliana na connectify? maana me ni mdau wa connectify dispach na niliona post ya jamaa kwamba inazingua. By the way natumia basi jingine, nataka nitest PD.
  • Mkuu angalia PM niliyokutumia.
Karibu
 
  • Tazama luninga za kimataifa pamoja na soka kupitia hii site.
    Code:
    [url=http://www.filmon.com/tv/]Web TV | Free web tv | Free Live Television | Live Tv Channels | Video on demand for free | Best Social Tv | Free streaming tv channels | Battlecam |[/url]
  • Karibu
 
  • Ofa ya weekend hii {7th & 8th September}.
  • Waunganishe watu watatu (3) na upate mwezi mmoja bure.

  • Angali hiyo picha , 23gb ni kwa siku moja tu, Je kwa mwezi itakuwa GB ngapi?.
Karibu
 
NMEIPENDA XANA HII PD PROXY
:majani7:
MMMMH ASISEE HII HATAR YAANI KUSHUSHA VI2 HADI BAAAASI

KARIBUNI WAKUU MJARIBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…