Jipatie mataulo hapa kwa Garama nafuu kabisa

Jipatie mataulo hapa kwa Garama nafuu kabisa

Karibuni sana
IMG_20200921_093932_134.jpeg
IMG_20200921_090916_452.jpeg
IMG_20200921_090849_055.jpeg
IMG_20200921_090826_964.jpeg
IMG_20200921_081635.jpeg
IMG_20200921_080533.jpeg
 
0719884746 Namba ya ukonga
Namba ya Ukonga ungeiweka pia hapa mkuu
Habari nauza mataulo mbalimbali kwa garama nzuri Sana Nina Taulo za gift set yaani kwa wale wanaopenda kutoa zawadi pia Kuna Taulo za Moja moja
Taulo kubwa kabisa linaukubwa wa cm 145*cm 75
Linalofuata Ni cm 75*cm45 size inayofuata Ni cm 30*cm 30 set imekuwa imekamilika

Kuna Taulo aina nne na Bei zake

1. Hili Ni Taulo ambalo waweza kujifunga kawaida au ukajifunga Kama kagauni maana pemben Kuna vifungo hii Ni fashion towels
Hili lipo Moja Bei Yake Ni sh 10,000 tu
Yana Rangi nne pink, blue, cream na zambarau

2.Taulo la pili
Set ya Taulo tatu
Taulo la kwanza linaukubwa wa cm 145*75 hili anaogea mama/baba
Taulo linalofuata 75*cm45 anaogea mtoto
Halafu Kuna Taulo dogo cm30*cm30

Set hii yote ya Taulo tatu utaipata kwa sh 20,000 tu

3.Taulo la tatu
Taulo kubwa Lina ukubwa wa cm 145*cm75 anaogea mkubwa
Inafuata kofia flani amaizing ya kufunga kichwani stylish one
Halafu inafuata Taulo dogo la ukubwa wa cm 30*30

Set yote hii utaipata kwa sh 20,000 tu
Rangi zilizopo Ni zambarau, pink na pinch

4. Set ya nne Ni set ya Taulo nne
Mataulo mawili yote yanaukubwa wa cm 145*cm75 hapa Ni taulo anavaa baba na mama
Halafu mbili nyingine zinaukubwa wa cm 75*45 wanavaa watoto wawili
Set hii zimebakia Rangi mbili tu cream na blue bahari
Garama ya set yote hii Ni sh 30,000 tu

Tunapatikana. Mwanza Nyegezi tunatuma popote pale Tanzania
Waweza kutucheki WhatsApp kwa 0763772636


Karibuni Sana View attachment 1573961View attachment 1573962View attachment 1573963View attachment 1573965View attachment 1573967View attachment 1573976
 
Nzuri Sana pink zipo set mbili tu[emoji7][emoji7]
IMG_20200921_093820.jpeg
 
Zipo Rangi nne, Pink, blue bahari, zambarau na cream
IMG_20200922_063055.jpeg
 
Back
Top Bottom