pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #41
Asante sana
Taulo nzuri hzo
Taulo nzuri hzo
hamna rangi nyeusi , dark blue au brown?
Hata vibonge wanaweza kuvaa bila shidaKaribu sana
😅😅😅😅😅😅Hata vibonge wanaweza kuvaa bila shidaView attachment 1577888
Tuje kufanya nini wakati taulo unazo mbili tu, aacheni masihala si bora ungeweka matangazo kwenye nguzo za tanesco hapo mtaani kwako. Au unadhani jf inaishia nyegezi?Karibuni sana WhatsApp me 0763772636
Tuje kufanya nini wakati taulo unazo mbili tu, aacheni masihala si bora ungeweka matangazo kwenye nguzo za tanesco hapo mtaani kwako. Au unadhani jf inaishia nyegezi?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Taulo kama kagauni........ baba mwenye nyumba uswazi na mswaki wangu mdomoni na kopo naenda bafu la nje na haka kagauni[emoji28][emoji23]
Mjini kuna mambo.(Joke)
Nakucheki mkuu nataka ile ya 4(kubwa 2 na ndogo 2). rangi ya kuficha uchafu
Bado ipoHii imebaki mojaView attachment 1575850
Bado ipo
Unaambiwa ukweli unapanik, ukishaamua kuingia kwenye business ingia full, i mean uwe na mzigo wa kutosha, post zangu asilimia kubwa ni mara hii imeisha, mara hii imeshauzwa, ndo mana mdau anakuchana kuwa kama mzigo wako ni wa kuunga unga basi tangazia iwanda wa eneo lako
Asante Sana wateja wetu kwa kuzidi kutuaminiKaribu sana
Ukonga sehemu gani. Mombasa au wapi?