Jipatie majeneza ya kisasa

[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
tumekuelewa ww MBWA.
 
Weka na namba ya simu tukiwa tunahitaji tukupigie
 
Unaweza kununua na kuweka ndani Kama aseti tu siku ukipenda unaingia na kufanya zoezi as if umededi unajipiga na selfie za kutosha
Safi sana mkuu una mawazo mazuri sana tukipata watu waelewa kama wewe nchi yetu itafika mbali sana.
 
Mods huu uzi wa kijinga sijui sijui hawajauona?
Acha kuharibu biashara za watu wewe.!
Mbona humu wengine wanatangaza biashara zao za vitu used kama vitanda, sofa, makabati, masufuria nk. Mpaka mbunye used
 
Mfano ukichagua yale ya bei kuanzia laki 3 yamewekewa material flani yanaweza kudumu ardhini kwa miaka 100
Mkuu nataka nijinunulie ili nisisumbue watu nikifa, bei yake ikoje na linaweza dumu kwa muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…