Jipatie majeneza ya kisasa

Moja ya Tangazo la tofauti mwaka huu aisee
We unadhani kwa hali ya kibiashara ilivyo sasa bila kujitangaza utatoboa?
Kama manabii wenyewe wanajitangaza kwenye radio na tv
 
Nakuombea sana kwa uthubutu huu... Hata tukikiogopa kifo bado tutakufa tuu... Shida ni kwamba siku biashara ikiwa nzuri.... Tafsiri yake imejaa ukakasi.. But we need money anyway
 
Hio Biashara ikifanywa na Mme wa Nurse, na wife akiamua kumpa sapoti mumewe....

Napita tu, ila hizi habari hazivutiii kabisa kama uchi wa mtoto
 
Mkuu nataka nijinunulie ili nisisumbue watu nikifa, bei yake ikoje na linaweza dumu kwa muda gani?
 
Mods huu uzi wa kijinga sijui sijui hawajauona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…