Jipatie: Kitabu cha dua na mafanikio ya ukweli

Mkuu hichi kitabu si cha si cha dini wala si cha kipagani ila dua zake nyingi zinatoka kwenye kitabu cha Zaburi psalm jaribu kukinunuwa utaona faida yake mkuu kichomiz

Mkuu hatuzungumzi mambo ya Udini hapa tunazungumzia mambo yanayohusiana na Dua ikiwa wewe ni Muislam au ni Mkristo kaa na imani yako hakuna mtu wa

kukulazimisha kununuwa kitabu changu. watu wote wanajuwa kuwa kila Muislam anatumia Quran na Mkristo anatumia

Biblia Takatifu kwa hiyo kaa na imani yako hukulazimishwa kununuwa kitabu changu usifuatilie maelezo yangu kaa na imani yako na mimi

niache na imani yangu Samahani usiniharibie Thread yangu ninakuomba sana tena sana mkuu kwa heshima yako ebu acha hii Thread yangu usiniharibie tafadhali sana kwa heshima zako niache ..... TZ biashara

Hahahaahah, dah nimecheka peke yangu hapa ofisini. JF kweli hakunaga.
 
Mkuu MziziMkavu, mara nyingi maombi yanayohusisha mishumaa yana uhusiano na upagani/ushirikina wa kimagharibi.
 
Last edited by a moderator:
Asante MziziMkavu hivi hiki kitabu ni sawa na kutabiri nyota?
Hiki Kitabu cha Dua hakihusiani na mambo ua Utabiri wa Nyota mkuu FirstLady1

Kitabu ninapenda kuwa nacho ila nina wasiwasi kama je kinaendana na matakwa ya Biblia 100%. Maana kama kuna mstari ndani ya kitabu unaenda tofauti na Bible basi sitakihitaji hata kidogo. Naomba nieleweshwe!
Dua nyingi zilizopo ndani ya kitabu hikichangu zimetoka ndani ya Biblia kama umekipenda nunuwa ujaribu bahati yako achana na kusikiliza watu wengine hawajuwi kitu zaidi ya kupinga Haa Bwana YESU alipingwa na Wayahudi itakuwa mie MziziMkavu? nunuwa kama umekipenda mkuu Paxman

USHIRIKINA AT ITS BEST.

FREEMASONRY AT WORK.

Wakuabudiwa na kuombwa ni Mungu tu.
Mkuu hakuna cha U FreeMason hapa acha maneno yako ya Pumba wewe Top Thinker

Mkuu MziziMkavu, mara nyingi maombi yanayohusisha mishumaa yana uhusiano na upagani/ushirikina wa kimagharibi.
Kwa hiyo mkuu Maombi ya Ya Kanisani huwa wanawasha Mishumaa ni mambo ya Upagani/Ushirikina wa Kimagharibi? Naomba jibu kwako Mkuu The Pen
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mkuu Maombi ya Ya Kanisani huwa wanawasha Mishumaa ni mambo ya Upagani/Ushirikina wa Kimagharibi? Naomba jibu kwako Mkuu The Pen

Ndio maana nikaandika "mara nyingi ...". Lkn jaribu kufuatilia khs historia ya hiyo mishumaa ya Kanisani, huenda ukagundua kitu.
 
Ndio maana nikaandika "mara nyingi ...". Lkn jaribu kufuatilia khs historia ya hiyo mishumaa ya Kanisani, huenda ukagundua kitu.
Kwani wewe ni Dini gani Mkuu? Tafadhali usiingilie imani za watu huo ndio utakuwa mwanzo wa ugomvi kila mtu na imani zake Mkuu The Pen Kuwasha mishumaa sio mambo ya Upagani wala Ushirikina inategemea unavyowasha mishumaa kwa nia gani? Kila anaye washa mshumaa anakuna ni mpagani au Mshirikina?mkuu acha maneno yako ya pumba hayo.
 
nani mtunzi wa hicho kitabu? unaweza kutupa ushuhuda kidogo jinsi wewe kilivyokusaidia? mi nataka kuwa tajiri je unaweza kunikopesha hicho kitabu, ni kitajirika nikulipe dola zako? asante
 
Mkuu hichi kitabu si cha si cha dini wala si cha kipagani ila dua zake nyingi zinatoka kwenye kitabu cha Zaburi psalm jaribu kukinunuwa utaona faida yake mkuu kichomiz

Mkuu hatuzungumzi mambo ya Udini hapa tunazungumzia mambo yanayohusiana na Dua ikiwa wewe ni Muislam au ni Mkristo kaa na imani yako hakuna mtu wa

kukulazimisha kununuwa kitabu changu. watu wote wanajuwa kuwa kila Muislam anatumia Quran na Mkristo anatumia

Biblia Takatifu kwa hiyo kaa na imani yako hukulazimishwa kununuwa kitabu changu usifuatilie maelezo yangu kaa na imani yako na mimi

niache na imani yangu Samahani usiniharibie Thread yangu ninakuomba sana tena sana mkuu kwa heshima yako ebu acha hii Thread yangu usiniharibie tafadhali sana kwa heshima zako niache ..... TZ biashara

Mbona unakuwa mkali wakati unauza kitu cha kiimani.

Unaposema mungu hata wa Banyan ni mungu pia. Lkn kwa misingi ya dini yangu mimi Mkristo, Mungu ni mmoja na kumuabudu ni kwa ajili ya utukufu wake.

Sasa humu kwenye kitabu chako (ambacho kina dalili ya ushirikina) kuna mambo ya ajabu ajabu kidogo ambayo ukishiindwa kuyatolea ufafanuzi nitashindwa kumuelewa huyu mungu wako.

Kucheza kamari, bahati nasibu na upuuzi mwingine kama huo ni dhambi. Kutumia spiritual powers kumpata mwanamke ni ushirikina pia. Sasa unaweza kufafanua ni mungu yupi wa kitabu hiki?
 
Dua nyingi zilizopo ndani ya kitabu hikichangu zimetoka ndani ya Biblia kama umekipenda nunuwa ujaribu bahati yako achana na kusikiliza watu wengine hawajuwi kitu zaidi ya kupinga Haa Bwana YESU alipingwa na Wayahudi itakuwa mie MziziMkavu? nunuwa kama umekipenda mkuu Paxman

Yesu na kamari wapi na wapi bana. Hata yeye alipindua meza za wacheza kamari. Na kama kupingwa, Yesu alipingwa na Wayahudi kwa kukataa kamari lkn wewe NAKUPINGA kwa kutufundisha ushirikina wa kushinda kamari
 
Wakuu Wenzangu nauza hiki kitabu cha dua na Mafanikio ya Ukweli kwa Mwenye kukitaka nakiuza ni Dola 70 kimeandikwa kwa lugha ya Kiingereza haya karibuni kwa kila mwenye matatizo ya maisha kufanikiwa kupona ugonjwa kupata kazi,cheo,kupata pesa ,kupata ushindi wa bahati nasibu, kumvutia mtu kimapenzi,Kufanikiwa katika maisha na kila kitu karibuni mjaribu bahati zenu asanteni... Kwa Mwenye kutak hiki kitabu awasiliane na mimi kwa njia ya email yangu ni hii (fewgoodman@hotmail.com)


CANDLE BURNING RITUALS
Candle_Burning_R_4e1441273437f.jpg





"MIRACULOUS" CANDLE RITUALS GIVE YOU CONTROL OF YOUR LIFE - AUTOMATICALLY!
Amazing book shows you how to get fast and powerful results from burning candles!

Just by burning a candle and saying the words in this book you can have whatever you wish!
Here is a candle burning unlike any other - a book which can be used by Christians, Jews, Muslims, or those of any

other faith. A book with instructions so simple that a child can follow: a book which shows how to get fast and powerful results from burning ordinary candles from your super-market.
No incenses or exotic, hard-to-get herbs are required for these rituals!
No such rituals have ever been this easy, and yet produce such astounding results!
Any person you desire can be yours automatically - with these candle burning rituals!
You can get all the money you need automatically - with these rituals!
You can automatically gain control of an unjust person - with these rituals!
You can automatically stop another person's gossip or slander - with these rituals!
You can make a lover come back to you automatically - with these rituals!

These candle burnig rituals take only minutes to perform. They get results because the book shows you the right times and right words for enlisting the help of the Great Benefic Forces of The Cosmos.

This is unlike any other such book: because its instructions have been tried and tested over and over again with many people by its authors , the New Age Fellowship!
Read how these powerful candle rituals have helped these people: (photo-copies of actual letters available on request).

"I was heartbroken when my boyfriend was seeing another woman. I knew she would bring him no good. So I performed the ritual called 'to break up another's love affair' and I was overjoyed when it worked!" (K.B. Manchester)

"It looked as if my son was gonna get sent down for 5 years. The evidence was stacked against him, and it seemed a foregone conclusion the jury would find him guilty. It was then God led me to your book. I performed the ritual 'To get a legal decision in your favour'. I couldn't believe it - the jury returned a 'not guilty' verdict!" (B.D. Boston)

"My life was a mess. I had got into a business partnership which turned into a nightmare. My so called 'partner' was no better than a crook. He had lied to me about what was really going on. We owed people money all over the place.

So I tried the ritual 'To extricate yourself from a matter you regret having become involved in'. It was the answer to my prayers. Immediately my partners attitude changed, and he even offered to buy out my share. I sold out and even made money on the deal. I can't thank you enough - that ritual saved me!" (J.B. Birmingham)

The New Age Fellowship was founded to research and make public candle burning rituals which really work. They found there was a method which made them work; and this method, applied correctly, was unfailing.
It doesn't matter how many times before you have lit a candle and got no result. WITH THIS BOOK'S RITUAL YOU WILL NOT FAIL.

This book reveals the secrets of past spiritual masters for taking dynamic control of your life!
There are no difficult to pronounce words. No special clothing is required. No herbs. No Incenses. No equipment of any kind - only ordinary candles from your local super-market!

You will know the very moment you open this book and read the special words that here - at last - are candle rituals that can help you. And you will know immediately your candle is lit that help is on the way!
But these special rituals bring more than just 'help' for your problems. They can bring you a life of uninterrupted good fortune and luxury!

LET NO-ONE EVER TELL YOU THAT GOD AND HIS SERVANTS WANTED YOU TO BE POOR AND UNHAPPY. With this amazing book you are shown how you can banish bad luck out of your life forever.

You will be able to get money whenever you need it - seemingly "miraculously". It is all a question of burning your candle at the right time with the right words. You will BE ASTOUNDED AT THE FAST RESULTS!
God moves "in mysterious ways", so the Bible says, and things which once seemed impossible become common place, once you begin using these unique rituals on a regular basis!

Just think of it - money whenever you need it. Just think of it - the power to make someone want you. Just think of it - the power to influence people to do what you want.
These amazing candle buring rituals give you that power!

But how? Spiritual adepts believe that when a candle is lit a light also appears in the Unseen World. And when that candle is lit at the right time, for example, on a Friday if you need money, the Unseen World automatically vibrates to your wishes for money.

Then speak the correct words given in ths book, and the Unseen World IS READY TO MANIFEST YOUR DESIRE!
These amazing candle burning rituals are working for many satisfied people.

80 DIFFERENT RITUALS!
80 guarenteed-to-work rituals in this amazing book! Some of the rituals are:
* A complete change of luck, and a flow of endless blessings.
* Winning contests, lotteries, gambling.
* To reconcile a broken friendship.
* To turn an enemy into a friend.
* To save a failing marriage.
* To bring peace in the home.
* To arouse sexual desire in someone.
* Protection from injury and sudden death.
* For improved concentration in studies and pass exams.
* To remove guilt feelings.
* To obtain a job promotion.
* To overcome lustful feelings.
* To develop psychic powers.
* Overcoming feelings of hate.
* To boost self-confidence.
* To get a job.
* To overcome a bad habit.
* To improve business and get more costomers.
* To acquire inner peace.
* To ease the loss of love.
* To develop musical talent.
* To overcome depression.
* A miraculous answer to an oppressing situation.
* To forget the past.
* The wisdom to make the right decision in an important matter.
* To overcome an oppressive landlord.
* To reverse unfair dismissal.
* Overcoming an unyielding enemy.
* To influence a powerfull person.
* To remove a curse.
* For a safe air trip.



... and many more, including rituals for health problems, infertility, etc.

ALL RITUALS ARE SIMPLE AND EASY TO PERFORM - NOTHING COMPLICATED, AND NO OILS, HERBS OR INCENSES!
THIS BOOK IS WORKING "MIRACLES"

Hawa Watu ni baadhi waliotumia hichi kitabu maelezo yao ni hapa chini

P.P. (Richmond) wrote: " I have tried so many candle burning books without success - this is the only one to help me".
J.G. (Toronto) wrote: "How can I thank you? I don't know where to begin. I have used your candle ritual every time before going out to play bingo - and have won prizes 4 times out of 5! Used you candle rite for my mother who won $5000 lottery prize!... And just before writing this i've done a ritual for a new auto - I just know it's going to work!... May God bless you!.

A.K. (Bristol) wrote: "I have never had my prayers answered so I can't believe my luck. After years of trying to get my songs publishes I received my very first acceptance one week after I got your book! I am astonished!"
O.J. (Washington) wrote: " I was sceptical, but after trying the ritual to get my lover back I became a believer! She called me the next day and begged my forgiveness! This stuff works!".

These, and many other testimonials demonstrate the amazing results to be obtained from these unique candle burning rituals. FOR WHATEVER YOU NEED OR WANT JUST LIGHT A CANDLE IN ACCORDANCE WITH THIS WHITE MAGIC BOOK'S INSTRUCTIONS AND YOU WILL RECEIVE HELP! GUARANTEED!

Nimekitumia kwa mambo yangu ya kimaisha , na nimefanikiwa....asante sana Mr, Mzizi Mkavu.
 
Kwani wewe ni Dini gani Mkuu? Tafadhali usiingilie imani za watu

Sioni mantiki yako ya kuuliza na kuhukumu kwa wkt mmoja.

huo ndio utakuwa mwanzo wa ugomvi kila mtu na imani zake

Tafadhali nioneshe sehemu ambayo nimeingilia "imani za wengine". Na sijui hao wengine ni akina nani wkt imani yangu huijui!

mkuu acha maneno yako ya pumba hayo.

Hivi kila usichokipenda wewe ni "pumba"? Au unatafuta kuungwa mkono kwa kila unalolileta.
 
Sioni mantiki yako ya kuuliza na kuhukumu kwa wkt mmoja.



Tafadhali nioneshe sehemu ambayo nimeingilia "imani za wengine". Na sijui hao wengine ni akina nani wkt imani yangu huijui!



Hivi kila usichokipenda wewe ni "pumba"? Au unatafuta kuungwa mkono kwa kila unalolileta.
mkuu kama wewe hupendi kitu hakuna haja ya wewe kutowa mawazo yako ni kuangalia tu na kupita kuna Thread nyingi tu za kuchangia sio hapa tu kwangu vipi mkuu umetumwa? kuja kunipiga vita? kama wewe unajuwa si unyamaze waache wasiojuwa wauliza Maswli yao. wewe unajibu kama vile hiki kitabu nimeshakupatia wewe tafadhali bora uache hii thread yangu tafadhali mkuu The Pen
 
Last edited by a moderator:
Sisi tusojua kingereza inakuwaje na wengi wetu ndo wenyeshida tuhitaji hiki kitabu lakini lugha hatuna mkuu utatusaidiaje nakihitaji lakini sijui kingereza nadola
 
Sisi tusojua kingereza inakuwaje na wengi wetu ndo wenyeshida tuhitaji hiki kitabu lakini lugha hatuna mkuu utatusaidiaje nakihitaji lakini sijui kingereza nadola
Kinunue kisha ukipele kwenye sehemu wanapotafsiri Lugha kutoka kiingereza kwenda kiswahili ni rahisi tu zipo Sehemu hapo Dares-Salaam za kutafsiri lugha.Mkuu NTINGINYA
 
Last edited by a moderator:
Uko juu sana.Naomba unielezee mengi kuhusu hicho kitabu kupitia kwa my email addres: greymakobi@yahoo.com kisha tusaidiane. Please communicate to me through the above addres. Thanks greymakobi@yahoo.com. Tukutane kwa facebook pia. Kwa facebook najiita Grey Makobi. Usinisahau tafadhali.
 
Watu tulnavyotaka utajiri wa haraka haraka lazima tukakope tununue kitabu hiki, mimi nataka mapesa yote yaliyopo banki kuu yawe yangu, inawezekana hiyo?
 
Watu tulnavyotaka utajiri wa haraka haraka lazima tukakope tununue kitabu hiki, mimi nataka mapesa yote yaliyopo banki kuu yawe yangu, inawezekana hiyo?
Haitawezekana hivyo unavyofikiria wewe Mkuu.Ninavyofikiria mimi Hiki kitabu cha Dua ya Mshumaa kinakuwezesha Kukufanikisha yale mambo yako ya maisha ya kila siku unavyopanga mambo yako yakawa

hayawi basi ukitumia hiki kitabu dua zake basi mambo yako yanakuwa ni mepesi kufanyika Ukitaka kupata cheo kazini hizi

dua zinaweza kukusaidia, au kushinda bahati nasibu kubwa ya aina yoyote ile au kushinda kesi,mashindano yoyote

yale,kuomba dua ili maradhi yakuondokee,kujilinda na maaduwi na kadhalika kitabu hiki kinaonyesha kina faida nyingi

hakuna mfano wake mimi mwenyewe nimeshamtumia MziziMkavu Email nina kitaka hiki kitabu naona kitanisaidia mambo yangu ya kila siku Fernandes Rodri





 
Last edited by a moderator:
Mzizi usijukulie kirahisi kusema nenda kakitafsiri hujui hapo unanipeleka mtegoni kitabu hiki hakina haki miliki, je nikishikwa huku nikaonekana nataka kuleta longolongo. nayokwambia usijukulie mzaha nakitaka kwanini wewe usikifanyie hiyo tafsiri ya kiswahili kwanza itakusaidia kutupata na sisi wachini ya mikrismas na wala7 nakihitaji kweli nilisha wahi kumuona jamaa anakitabukama hiki lakini ni mchoyo sana tulikuwa tusota nae sasa hivi anataka kuagiza ndege, sisi tunabaki na maneno ya frimason, najamaa mskitini anaenda na kuku anakula nisaidie kukipata

Kinunue kisha ukipele kwenye sehemu wanapotafsiri Lugha kutoka kiingereza kwenda kiswahili ni rahisi tu zipo Sehemu hapo Dares-Salaam za kutafsiri lugha.Mkuu NTINGINYA
 
Last edited by a moderator:
Mzizi usijukulie kirahisi kusema nenda kakitafsiri hujui hapo unanipeleka mtegoni kitabu hiki hakina haki miliki, je nikishikwa huku nikaonekana nataka kuleta longolongo. nayokwambia usijukulie mzaha nakitaka kwanini wewe usikifanyie hiyo tafsiri ya kiswahili kwanza itakusaidia kutupata na sisi wachini ya mikrismas na wala7 nakihitaji kweli nilisha wahi kumuona jamaa anakitabukama hiki lakini ni mchoyo sana tulikuwa tusota nae sasa hivi anataka kuagiza ndege, sisi tunabaki na maneno ya frimason, najamaa mskitini anaenda na kuku anakula nisaidie kukipata
Ni kweli uyasemayo lakini kutafsiri huku kutoka Lugha ya Kiingereza kuja lugha ya Kiswahili huku nilipo itakuwa sio jambo rahisi ila kama unakitaka ninaweza ninaweza kukusaidia kwa huko

huko nyumbani kuna Mwanangu ataweza kukusaidia kutafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili nitakupa contact zake utawasiliana nae na ataweza kukusaidia kukifasiri kutoka Kiingereza kuja Kiswahili. Kitabu hiki kukipata si

Rahisi na hiki kitabu kina Thamani kubwa mimi mwenyewe ninashangaa nimekipata kwanjia ipi? ndio maana na mimi ninataka kuwapa Wenzangu faida Sio huko kwetu watu wanakimbilia kwa Mganga wa Kienyeji au Mchungaji au sheikh

wakati kumbe dua unaweza kujifanyia mwenyewe kwa nia zako na ukaweza kufanikiwa ili mradi uwe an imani ya ukweli Mwenyeezi mungu atakusaidia. Kwani hao Waganga wa Kienyeji,Wahungaji na Masheikh si Wana muomba

Mungu kwa Dua kwanini wewe ushindwe kumuomba Mungu akusaidie kwa kupitia dua zake Maalumu? Mkuu NTINGINYA Ukiwa Teyari wasiliana namimi nitakusaidia kwa kila hali ondosha wasi wasi nitumie Email Address yangu ni hii (fewgoodman@hotmail.com).
 
Last edited by a moderator:
Nimekuelewa mkuu sasa nikikihitaji naweza kukipata kwa haraka?au ni mpaka kiagizwe?kwa maelezo yako kimenivutia.
Mkuu kichomiz ukihitaji hichi kita jaribu kunitumia mimi Baruwa ya Pepep Email yangu ni hii (fewgoodman@hotmail.com) nitakupa Contact zangu na namba yangu ya simu na wapi nilipo ili unitumie pesa nikutumie kwa haraka iwezekanavyo ninangoje majibu toka kwako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom