Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,320
- 33,125
Mkuu KATUTU Hakuna mambo ya kukopeshana Mkuu samahani unazo pesa nitumie Email yangu hii fewgoodman@hotmail.com Huna pesa basi.
Mkuu Captain22 Katafute kwa hiyo bei ya Dollar 22 ukanunuwe kama wewe umeona ipo sehemu ya kununuwa kwa hiyo bei.Kaka Mzizimkavu, kwa nini bei yako ni juu sana? Nimebrowse site ya publisher bei ni dollar 22 tuu. Sasa bro hata ukiweka 50% prf na handling charges, to the most 50 dollar, hiyo 70 ni ghali mno
Mkuu kasumbaleza Hakuna bei ya kupunguza hapo wala kuzidisha kutokana na upatikanaji wa hicho kitabu ndio maana kikafika hiyo bei ya dollar 70 ukikihitaji kitabu hiki nitumie email addres yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.comnitakipateje je kuna punguzo
Mkuu kasumbaleza Hakuna bei ya kupunguza hapo wala kuzidisha kutokana na upatikanaji wa hicho kitabu ndio maana kikafika hiyo bei ya dollar 70 ukikihitaji kitabu hiki nitumie email addres yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
Nimesha kujibu Email yako mkuu PLATO MAGELEWhy are you not replying via our emails?
Sijakulazimisha kununuwa hiki kitabu ukitaka mwenyewe unaweza kuwasiliana na mimi hukutaka pia sio mbaya mkuu.Mkuu naona wewe lengo lako ni kuuza sio kusaidia. Asante
Duh! Post ya December 2012 unaiibua leo?Sijakulazimisha kununuwa hiki kitabu ukitaka mwenyewe unaweza kuwasiliana na mimi hukutaka pia sio mbaya mkuu.
Sikulazimisha mtu au muislam anunuwe kitabu changu tafadhali jiheshimu ndugu. Anaye kitaka kitabu changu ndio nitakaye muuzia awe muislam au asiwe muislam sitizami mtu dini yake. Samahani kama nimekukwaza Granta Punguza hasira usije kunipiga makofi bure ndugu.Ushaambiwa kwa Mujibu wa Uislam hicho kitabu hakifai kutumika kwa Muislam we unalazimisha tu... Unataka watu wamuombe Mungu vile/style ambayo Mungu Mwenyezi kaikataa?
Nafikiri Uislam uko clear sana...hivyo usilazimishe eti hata waislam wanaweza kutumia wakati inafahamika wazi kwa mujibu wa Rejea za Uislam ( Qur ani na Sunna) huo ni ushirikina...
Halafu kingine mbona umemjibu jamaa kiukali sana nini tatizo...?
Sikulazimisha mtu au muislam anunuwe kitabu changu tafadhali jiheshimu ndugu. Anaye kitaka kitabu changu ndio nitakaye muuzia awe muislam au asiwe muislam sitizami mtu dini yake. Samahani kama nimekukwaza Granta Punguza hasira usije kunipiga makofi bure ndugu.
Tafadhali usilete mambo ya mashindano tafadhali ninakuomba usiniharibie Thread yangu Granta Muombe kivyako Mungu na mimi ninamuomba Kivyangu Mungu aliyeniumba usiniharibie siku yangu Tafadhali sana ninakuomba iache Thread yangu kama ilivyo pita na zako Mkuu.
Ushaambiwa kwa Mujibu wa Uislam hicho kitabu hakifai kutumika kwa Muislam we unalazimisha tu... Unataka watu wamuombe Mungu vile/style ambayo Mungu Mwenyezi kaikataa?
Nafikiri Uislam uko clear sana...hivyo usilazimishe eti hata waislam wanaweza kutumia wakati inafahamika wazi kwa mujibu wa Rejea za Uislam ( Qur ani na Sunna) huo ni ushirikina...
Halafu kingine mbona umemjibu jamaa kiukali sana nini tatizo...?
Mtume muhammad Rehema za Allah ziwe juu yake anasema kuwa ukitaka kumkosoa mwenzako angalia makosa yako je wewe huna makosa? ndio umkosoe mwenzangu: Jiangalie wewe kwanza umekamilika? kisha uje unikosoe mimi. Nimesema hata Muislam akitaka anaweza kutumia ni Dua zinazotoka ndani ya Biblia Taurati ikiwa wewe huiamini Biblia (Taurati) mimi ninaiamini hatuzungumzii mambo ya Dini kuna vitabu vingi vya dini vya Dua nenda kavipinge huko usije hapa kuniharibia siku zangu.Utoe neno "hata muislam anaweza kutumia" ...usiihusishe dini Tukufu mbele ya Mwenyezimungu na hayo matunguri yako otherwise usiku mwema
Mtume muhammad Rehema za Allah ziwe juu yake anasema kuwa ukitaka kumkosoa mwenzako angalia makosa yako je wewe huna makosa? ndio umkosoe mwenzangu: Jiangalie wewe kwanza umekamilika? kisha uje unikosoe mimi. Nimesema hata Muislam akitaka anaweza kutumia ni Dua zinazotoka ndani ya Biblia Taurati ikiwa wewe huiamini Biblia (Taurati) mimi ninaiamini hatuzungumzii mambo ya Dini kuna vitabu vingi vya dini vya Dua nenda kavipinge huko usije hapa kuniharibia siku zangu. Mimi pia muislam na ninatumia hiki kitabu kwa faida zangu uislam ni vitendo vyako sio maneno yako. kalale huko tafadhali usilete hapa U Answari suna nyie ndio mnaofanya Dini kuwa ni ngumu . Angalia kwenye magazeti amerika mwanamke anawasalisha wanaumme ingelikuwa huko bongo ninafikiri huyo mwanamke mungesha muuwa nyie waislam wa bongo kwa sababu hamna elimu ya dini ya kutosha. Mimi sijaweka Tunguli wala hirizi acha maneno yako machafu hayo.