Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,135
- 133,143
Mkuu Mzizi Mkavu, nipo sana tuu, na hii ni ukweli, tatizo ni matumizi ya nguvu za nani zinazotumika kumrudisha huyo mpenzi!, kwa sisi Wakristu wa kileo, dua yoyote ya inayuhusisha moto ni nguvu za giza!. Matumizi ya mshumaa ni kumtuma shetani, jini au pepo kwenda kumrudisha huyo mpenzi!. Matumizi ya sindano ni nguvu za kichawi kuuchoma moyo wa huyo mpenzi na kumlazimisha kubadilika, hii inafanywa sana visiwa vya Haiti, Papua Ne Gine na Central America inaitwa Voodoo na wanaiamini inaitwa Voodooism!, ni mambo ya kishetani tuu!.HAYA NINATOWA OFFER YA FAIDA YA KITABU JIFUNZE NAMNA YA KUTUMIA KWA DUA HII HAPA:
KUMRUDISHA MPENZI ALIYEKUACHA KWA
KUTUMIA MSHUMAA
View attachment 166150
TUMIENI HII DUA KISHA MUJE MUNIPE FEEDBACK. Unaweza kuwasiliana na mimi kwa njia ya Email Baruwa ya Pepe email yangu Address hii hapa fewgoodman@hotmail.com Mkuu Pasco upo
Kwa wale mlionisoma hapa [h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo ila hawajitambui!. Hapo hakuna lolote linalofanywa na huo wala hiyo sindani, its all works of powers,[/h]
its just the work of powers from within, kinachomrudisha huyo mpenzi ni nia ya dhati uliyoinuizia na kuielekeza kwa mpenzi. Unaweza kuweka nia na kuilekeza sio tuu kumrudisha mpenzi bali kupata chochote unachotaka, nyumba nzuri, gari nzuri, kazi nzuri, pesa nzuri, mpenzi/mke mzuri etc!.
Kwenye uzi wangu ule nimeeleza kila kitu!, huna haja ya kutumia chochote, wala kwenda kwa yeyote, the powers is inside you!, ni wewe tuu kujua namna ya kuzifungua na kuzitumia!.
Cheers!.
Pasco