IPhone 6
GB 16
Clean condition
Bei 470,000
Serious buyer 0654766056
nna laki 5 napata iphone 6..16gb used? au napata cm gank hapo nzur?
Mkuuu kwa iPhone 6
Huwezi kupata kwa laki tano...
Kwa Laki 5 ntakupa IPhone 5s GB 32
mkuu bei imeshuka au mbona sijakuelewa hapa?
![]()
IPhone 6
GB 16
Clean condition
Bei 470,000
Serious buyer 0654766056
![]()
hahahaha mbona nishakutumia tgopesa bosii 470,000Typing error boss ...Sorry [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji389][emoji389]
france kwenye euro 2016Umeziiba wapi
fanya mpango naisubiria phon 6 hyo kwa uaswa huu wa j p m hyo bei ni nzuri kabisa mkuuHahahhaa ndo nimeona hapa kumbe ni wewe mkuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kununua na kutumia simu iliyotumika,kiusalama wa taarifa zangu imekaaje hapo?Kutumia simu used...
Sijaelewa hapo mkuu..?