Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Sijui nakosea wapi kwenye kujisajili kwenye huo mtandao nisaidieni please
Digxam Forums bonyeza hii link itakupeleka moja kwa moja kwenye usajili

Weka tiki tatu
  • I have read and agree to the forum privacy policy. I have read and agree to abide by the forum rules. I agree to receive an email confirmation with a link to set a password.

  • After registration you will receive an email confirmation with a link to set a new password

Kisha fungua email yako utakuta link bonyeza

utapa jinsi ya kuweka password

usajiliwako utakuwa umekamilika.
 
View attachment 1284881
Tuwekeze kwenye Uvuvi hii ni boat ya uvuvi ya kisasa ndani mzuri sana kuna vifa vya kisasa vya uvuvi ndani iko bomba ya kijanja sana kuwa wakwanza kuimiliki
1.Ina vifaa vyakuta samaki na ktambua walipojificha
2.Kutambua aina ya Samaki
3.Wingi wa samaki
4.Nyavu a kisasa za kunasa Samaki
5.Speed
6.Fulu kiyoyozi
Bei yake M 10
Daaa, kama hali yenyewe ndiyo hii basi ndiyo maana tunasikia ukarabati wa kile kivuko tunapigwa.
 
20230328_154437.jpg
 
Tuna container linaondoka Japan kuja Dar tarehe 20 mwezi 3 wahi nafasi bado ipo,jinsi ya kuweka booking yako ingia kwenye website yetu www.digxam.site kisha weka booking yako.
 
Back
Top Bottom