Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,662
Habarini za jioni,

Baada ya kufuatilia uzi kuhusu biashara kutoka Uganda leo nimeamua kuianza safari kwa vitendo.

Mfukoni niko na Card ya Yellow Fever nauli na ATM Card yangu, Sina Passport, hii ni baada ya kwenda Uhamiaji na kushauriwa kwenda mpaka mpakani na pale nitapata Pass Border.

Nitakuwa na share kila kitu katika safari hii.

NB: Ndo safari yangu ya kwanza to Uganda (Mungu anisaidie)
 
Karibu sana Kampala, uku daladala tunaziita taxi, usafiri wa haraka ni wa kutumia bodaboda. Tulikuwa na kamvua kananyesha ila siku mbili tatu hizi ni kukavu.
Usiache kufika maeneo ya Arua park kuna wabongo wengi wanaweza kukusaidia usikutane na matapeli
 
Mkuu hivi huko dagaa wa mwanza hasa hawa wa kukaanga hawana soko?

Najihusisha na hii biashara natafuta sana wateja
Ok nilidhani uko kwenye Friends ya kutokea Mwanza
Pakti nauza elfu 1
Ndoo ndogo elf 40
Kubwa 80
Mawasiliano 0683011003
IMG-20191102-WA0054.jpeg
 
Back
Top Bottom