Jiongeleshe apa...

Kipindi icho ndio naanza kutumia simu yangu kulikua na ofa ya kutuma msg kwa sh moja mtandao flani hv huko ndiko nilikofanya yangu maana ukiwa na sh mia tu basi unatuma msg zakutosha

Unakumbuka kipindi soda ya ni sh 100 Pepsi alaf koka 150 kama ulipata iyo huduma na bado ujawah shika ata laki kaa chini jitathmini kuna mahali unakosea
 
nimeamka asubuhi naenda toilet mara nasikia sauti boss ananiambia mbona lile faili sijalipata nikajiuliza kwanini ajalipata?? mbona daku nilikula usiku wa jana na leo ndio nataka kuangalia hii movie ya chekinorisi, basi nikaenda mlimani city ile kutoka tu! jua kaliii mawimbi ya koko yanapiga, ndio kupanda gari haraka haraka lakini uwezi amini nilivyo shuka tu kwenye ndege nilipokelewa kwa bashasha! na trump kuuzulia kikao cha ccm yetu.
 
Nikimaliza shule ntashona suti nikimaliza shule nitashona shuti..eeh kumbe nimekosea nikimaliza shule nitasona suti..duuh..aya bana nimeshindwa unaeza endelea
 
Kuna mahali nimefika kwa mara ya kwanza wanapiga ugali wa mtama asubhi,mchan na jion,aisee nateseka sana na nisipokula nitaonekana nmewadharau,,,bas sku ya tano leo mbona nakoma mie mtoto niliezoea wali samak kwa nazi

Kwa menu hiyo natumai ukienda toi unakwenda nakijiti
 
Mmmh, hawa trafic sasa wajiandae lazima kuanzia tarehe 1 july vimeo vyetu vyote tuvitoe barabarani na mwaka huu lazima wakalime , tena ningepata simu number ya Mpango ningempa mpango mwinine kwa next budget afutilie mbali stickers za insurance ili na yenyewe ilipwe kupitia wese, Halafu lesen yenyewe imeisha dhuu huyu trafiki mbona kama anataka kunitokea vile, ngoja nimtolee kubwa, napiga U turn hapa hapa na mida ya kufuturu ndoo hiyoo
 
Aisee...angalia mazao yangu yanavyovutia
1800b94b7c8b0bfed83eb244c7f0deaf.jpg
 
Hahahahaha..
Wanasema usilazimishe upendo.

Utanitukunu nini maana deal hii..!
Kweli penzi halilazimishwi,laiti lingekuwa linauzwa ningelinunua...

Nitakutunuku kitu ambacho hutakaa unisahau maishani mwako....... Let us close a deal!
 
Kweli penzi halilazimishwi,laiti lingekuwa linauzwa ningelinunua...

Nitakutunuku kitu ambacho hutakaa unisahau maishani mwako....... Let us close a deal!
Hapo hapo kitu ambacho sitakisahau. Owky owky

Lets the game begin....
 
Kuna mahali nimefika kwa mara ya kwanza wanapiga ugali wa mtama asubhi,mchan na jion,aisee nateseka sana na nisipokula nitaonekana nmewadharau,,,bas sku ya tano leo mbona nakoma mie mtoto niliezoea wali samak kwa nazi
Wanapiga ndyo nn?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom