tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,218
Kipindi flan Nilikua kipanga sana darasani hadi nikawanaipenda shule,shule ikaendelea ikaanza kua ngumu nikapambana nkashindwa, nikainuka nikaendelea...
Sasa hivi nipo mahali flani japo napopataka sijafika Ila naamini ntafika!!
Huu ni uzi maalumu wa wana Jf kujisemesha,ukiona mtu katoa sumu wee cheka pita kimya kimya...nataka nione wangapi wataweza kujisemesha vyema
Haya karibuni
Note!sio lazima mtu aelewe unachojisemesha Ila hakikisha unaandika vizuri vitu visomeke!!