Jiongeleshe apa...

I would like to say that whenever you feels like doing what sound right to you,don't please or ask anyone just do it,

Some other guy r so bitter ,we r sorrounded by fake people ,do what pleases you that may have +ve impact to your life
 
Kipindi icho ndio naanza kutumia simu yangu kulikua na ofa ya kutuma msg kwa sh moja mtandao flani hv huko ndiko nilikofanya yangu maana ukiwa na sh mia tu basi unatuma msg zakutosha

Unakumbuka kipindi soda ya ni sh 100 Pepsi alaf koka 150 kama ulipata iyo huduma na bado ujawah shika ata laki kaa chini jitathmini kuna mahali unakosea
Tuma salama kwa watu wa2 tafadhali
 
haya mambo ya makinikia kama ni mwanamke mjamzito atajifungua kabla ya siku zake wallah
 
Mtu nimeanza kumpiga tangu zamani Nimempiga nimempiga weee.Sasa kashtuka.Kashtuka kabisa ila anataka mapumba tu mahindi niendelee kumpiga.
 
Hivi kwann kuna muda ukiwa unagegeda unaambiwa usitokena ukitaka kutoka unaletewa noma kabisa
 
Naomba mungu Noah yangu iwe ya kijivu wallahi
Mungu isaidie Tanzania tulipwe pesa zetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom